DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 8,580
- 17,683
Habari za asubuhi wana jf..
kuna swali moja kama kuna mtu anaweza kunijibu tafadhali naomba ufafanuzi..
mwaka jana Mwanangu wa Kwanza alimalza chuo..
Ila naona Yuko Nyumbani hana kazi wala ajira na naona serkali imesitisha ajira na tukijaribu kuuliza hapa na pale jibu ni kwamba watatoa tu ajira wasubiri..
Baadae nikamsikia Rais Magufuli akitangaza kustisha ajira ili kupisha uchunguzi wa wafanyakazi hewa na alitoa miezi miwili zoezi likamilike na kutoa ajira mpya mbona siku zinapiata na hatuoni hzo ajira tatizo ni ninini?
na naona mwanangu anakuwa mnyonge sana hapa nyumbani..