HIV=AIDS: Fact Or Fraud . HAVE U EVER WATCHED THIS

Mtazamaji

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
5,937
1,437
  • je Umewahi kuztaza hii dcuemntary video kuhusu consipircay theory ya HIV AIDS?

  • Nni chanzo cha HIV na nini inaweza kuwa chanz cha AIDS? (kwa mujibu wa mawazo mbadala...)
Tazama hii shocking video Sijui ni sawa kuiweka kwenye kundi la conspiracy theory. Wewe utakuwa muamuzi.
FULL DOCUMENTARY 1 hr 56 min


NB this was released in 2008

Dondoo zao wataalam
  • "HIV" DOES NOT CAUSE "AIDS", THIS IS JUST ANOTHER WAY FOR THE GOVERNMENT TO SIDETRACK FROM THE FACT THAT IT IS A MAN MADE VIRUS. IT IS A VERY CLEVER WAY TO MINIMIZE THE POPULATION BY GIVING THE DRUG "AZT" TO "HIV" POSITIVE PATIENTS, WHICH IN FACT IS WHAT GIVES YOU AIDS AND NOT "HIV".
Why Has AIDS reserch failed so far

  • AIDS research have not failed bcs it never found a cure...... AIDS researches as failed bcs it never found a cause ...
Kama unatka kuangalia clip za vipande vido go vidogo Anza na hii
YouTube - Aids Hoax 10 Reasons Part 1 then endelea na clip nyingine youtube

Nadhani hata Thabo mbeki zile alegation zake kuwa HIV haisaabishi AIDS alizitoa miaka ya nyuma ni baada ya kuona documentary hii .....


Tuendelee whats your comments.
 
Last edited by a moderator:
Kila jambo ambalo binadamu ameweza kutia mkono wake basi amekiharibu.
 
  • je inawezekana wamerekani walitengeza kirusi labaratory katika kutafuta tiba fulani ila baaada ya matokeo kuwa mabaya ikabidi sokwe wabambikiwe.

  • Je inawezekana wamerekani watatakiwa kulipa fidia mamilioni ya watu kama ukweli halisi wa chanzo cha AIDS ukijulikana ni man made virus

Kila jambo ambalo binadamu ameweza kutia mkono wake basi amekiharibu.

una maana gani mkuu kuna mambo wametia mkono yamekwenda vizuri. Mfano naona wanaongolea chanjo ya Polio
 
HIV is laboratory product sio news alafu the so called wataalamu wanasema eti ni virus. Lakini ukiangalia vizuri jinalake la kitaalamu ni AIDS [Acquired immune deficiency syndrom]. its all a syndrom and the aproach is only taken from virus point of view thats why they don't get anywhere with all the money they pour in. If you want to do deffernt you don't get funding and your projects get sabotaged or face many other countless obstacles even death. The people behind AIDS are everywhere just looking to make sure no one find a solution while saying there only to help.
 
Napenda kusikia maoni ya greatthinkers wenzangu . What culd be the soucre of HIV AIDS. leteni consipiricay theoy zote tuziweke hapa

Kuna conspiracy theory hii

kuwa Wamerekani walitaka kukomesha Ushoga kwa wanaume hasa wa jeshini. kwa siri w bila waathirika kujua wanafanyiwa majiribia walipewa hizo chanjo but bahati mbaya reaction yake kile kirusi kweye mwili wa binadamu ikawa ni madhara na matatizo makubwa.

From there ikabidi wasingiziwe sokwe wa africa.
 
The conspiracy i know is they discover the virus by accident as usual in the lab but wakaona vile inavyofanya watu wakaamua kukifanya kirusi kiwi kama silaa hasa kwa ajili ya kupunguza idadi ya watu dunia hii na kuwafanya kuwa masking zaidi wakinunua zile dawa zao hewa. Ndo mpaka leo na kesho hayo mashirika ya madawa yakitoa hela za kutafuta kinga wanatoa na masharti jinsi ya kufanya uchunguzi huo na wakijua hakuna lolote litakalotokea. Na wanaofanya uchunguzi huo sikuizi wanafanya tuu kama vile ni ajina manake wanajua wakifanya vingine kibarua kitaota majani.
 
Back
Top Bottom