Hitimisho la Bunge: Swaga za Waziri Mkuu ni Zile zile!

Waachie ngazi kwa makosa yapi?. Kama Epa, Rada, Deep Green, Meremeta etc ambazo zimeinvolve billions na hakuna aliyewajibika!, nani awajibike kwa hivi vijisent anavyopigia kelele CAG?.

Kweli kuna watu na viatu. Lol!
 
Kwa ufahamu wangu juu ya utendaji kazi wa Waziri Mkuu, kwa Busara zake kawa wasemavyo wengi, Si Ajabu kusikia akisema "HAJAPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA RAIS JUU YA KUJIUZURU KWA MAWAZIRI HAWA NA ANATEGEMEA KUZUNGUMZA HAYA PINDI RAIS ATAKAPO REJEA TOKEA NCHINI MALAWI KUHUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA MALAWI MAREHEMU PROF. BINGU WA MUTHARIKA". Tegemeeni kitu kama hichi wadau!

una hoja lakini umekurupuka sana
 
Hawawezi kuwajibika maana tayari fisadi wao mkuu JK ameishawapa msimamo. Lakini sisi wananchi tuna nguvu kubwa. Tutajua la kufanya. Kila mwenye macho anaona usanii unaofanyika kwenye maisha ya watu. Yaani watu mil 48 kwa JK si lolote si chochote, walio muhimu kwa nchi hii ni mawaziri wake mafisadi.
 
Naitamani Tanganyika!
 
Yaani kwa hali ilivyo inawezekana mama makinda anaweza akamzuia zitto asiwasilishe hiyo hoja. Mafisadi wana nguvu sana ndani ya ccm na serikali!
 
atapata muda sasa ngapi mtu mwenyewe anapanga safari akiwa ndani ya ndege na kuamuru waende moja kwa moja kwenye eneo la tukio akiwa safari . by the way alipotoka brazil alirudi dSM? UKIFUATILIA UTAGUNDUA PINDA HANA KOSA LOLOTE.
Kwa ufahamu wangu juu ya utendaji kazi wa Waziri Mkuu, kwa Busara zake kawa wasemavyo wengi, Si Ajabu kusikia akisema "HAJAPATA MUDA WA KUZUNGUMZA NA RAIS JUU YA KUJIUZURU KWA MAWAZIRI HAWA NA ANATEGEMEA KUZUNGUMZA HAYA PINDI RAIS ATAKAPO REJEA TOKEA NCHINI MALAWI KUHUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA RAIS WA MALAWI MAREHEMU PROF. BINGU WA MUTHARIKA". Tegemeeni kitu kama hichi wadau!
 
Ujambazi uliohalalishwa ni huu wa jk unaohusisha uporaji wa kutisha mali za nchi na kuzitumbua kwa anasa anakofanya kikwete mtu wa bagamoyo
 
Waachie ngazi kwa makosa yapi?. Kama Epa, Rada, Deep Green, Meremeta etc ambazo zimeinvolve billions na hakuna aliyewajibika!, nani awajibike kwa hivi vijisent anavyopigia kelele CAG?.
Pasco umesema kweli kabisa lakini umesahau kitu kimoja tu kuwa YOTE uliyotaja hapo yalifichuliwa kama kashfa na yakafunikwa wakati HAYA YA SASA yamekaguliwa na MKAGUZI MKUU WA SERIKALI YENYEWE na kuwasilisha bungeni kwa kutolewa ADHABU. Tofauti ipo tena kubwa cha msingi tu ni kuwa watu wote waliotajwa wanatakiwa kuwajibika haraka sana.

litaahirishwa leo baada ratiba kukamilia lakini pia kuna baadhi wa wabunge wanataka liitishwe bunge la mda ili hii ngoma ijadiliwe na iishe...siju mama makinda kama atakubali

Hakuna sababu ya msing ya kuitisha Bunge la dharura,
 
Tunasubiri hizo swaga ili hoja yetu ipate mashiko tuweze kumuweka tunduni arudi kwao sumbawanga akalime kama kweli ni mtoto wa mkulima
 
Back
Top Bottom