LoyalTzCitizen
JF-Expert Member
- Sep 15, 2010
- 2,234
- 883
Enoch Mankayi Sontonga (1873 - 1905)
Jamaa kafa mdogo sana! 32 only??
Enoch Mankayi Sontonga (1873 - 1905)
Kuna Mzee mmoja wa kichaga kule Machame Nkuu,Mwalimu alikuwa anaitwa Furanaeli Nasua Shoo nasikia alichangia baadhi ya maneno... Mwaweza kunisahihisha...
Kwani wimbo wa taifa umetungwa mwaka gani jamani?
sijasom history mie,lakini kama kafariki 1905 inamaana wimbo wa taifa umepatikana miaka ya 1800?
ingawa kumjua aliyetohoa maneno ni vigumu, lakini kama nilivyosema hapo juu, enoch aliandika mashairi machache sana kama ubeti mmoja hivi. Samuel aliongeza beti nyingi tu za kutosha na nyimbo mbalimbali za taifa zilijichagulia beti zao toka hapo. Nina hard copy ya wimbo kama ulivyoandikwa na sontonga and then version ya Mqayi. Maneno karibu yote ya wimbo wetu yametoka humo. Nitauweka hapa one day nikiwa na nafasi. Ila aliyechagua maneno na kufanya finalization simjui.
Mimi bado sijaelewaelewa, wimbo wa 1800 (wakati huo nadhani hata Tanganyika haikuwepo), hii ina maana wakati tunapata uhuru 1961, Tulikuwa hatuna wimbo wa taifa! Maana Tanzania imeanzishwa 1964 na hapo ndipo tungeweza kuweka maneno ya Mungu Ibariki Tanzania
Ninaomba/Tunaomba anayefahamu chochote kuhusu:
1. Wimbo gani ulikuwa au uliimbwa wakati bendera ya Tanganyika huru inapandishwa?
2. Wimbo wetu wa Taifa wa Tanzania, ulitungwa/ulichakachuliwa lini na nani?
3. Ulianza kuimbwa/kupigwa lini?
Ni hayo tu kwa sasa!
Huyo Enock sentonga hapo juu ni mtu wa wapi mbona ditails chache?
Ni huu huu isipokuwa palipo na TANZANIA palikuwa TANGANYIKA...TWICE chakachuliwad
Wimbo wa taifa ulitolewa kutoka katika kitabu cha kanisa katoliki kiitwacho:
''CHUO KIDOGO CHA SALA NA NYIMBO'' ukurasa wa 86.
Kwa faida zaidi dua ya kuliombea bunge upo katika kitabu hicho ukurasa wa 12.
In short watunzi ni wana peramiho.