Historia ya wale jamaa wa kilindi walioitwa magaidi

Status
Not open for further replies.

SWAZ

Member
Sep 26, 2013
64
24
Habar hii nimeitoa kwa mtu makini sana,,ni habar ndefu kdogo ila uksoma utapata elimu ya mambo kuhusu uislam.

Historia ya jamaa wa madina kilindi ambao pia abul faadhil na abu zakariyah walipata kwenda kuwafanyia nasaha.

Walikotokea Vijana wengi wa kijiji cha madina wametokea jijini Dar es salaam masjid Haq buguruni na hawa wa Kilindi wanatokea Mabibo jijini Dar wengi wao walikuwa ni wafanyabishara wa soko la ndizi kule mabibo na walikuwa wakiswali masjid Othman msikiti wa chuo cha taifa cha usafirishaji[NIT]chini ya imamu sheikh Jadu Rafii Mcheni walikuwa wakisoma darsa la awali pale kwani wengi wao hawana ufahamu mzuri wa Uislamu, lakini kila masiku yanapozidi kusogea wakawa wanalikwepa darsa la sheikh Jadu badala yake walikuwa wakienda Tandika kwa sheikh wao mwenye misimamo hiyo bwana AbduRashid Ayubu na mwengine AbdulAziz ndio waliowajenga misimamo hiyo kwa sasa bwana AbdulRashid amejirudi kuuacha msimamo huo na ametangaza kutubu mbele ya Waislam msikiti wa mabibo na kurejea katika msimamo sahihi wa ahlusunna wal jamaa
Madai yao. Wanasema hakuna Hijja kwa sasa kwa sababu serikali ya Saudia si ya Kiislamu.

Hakuna kupeleka watoto shule za kisekula kwani elimu ya sekula ni ukafiri. Waislamu wote wanaofanya kazi serikalini,viongozi wa nchi akiwemo rais Kikwete,makamu Dr Bilali,Rais wa Zanzibar na makamu zake wote ni makafiri wanastahili kuuawa kwani hawaongozi kwa Qur an!!?. Hakuna kula nyama zote za mabuchani kwani wanaochinja ni watu wa bakwata kwao wao ni makafiri.

Hakuna kuswali swala ya jamaa misikiti yote hii kwa sababu maimamu wote ni washirikina. Masheikh na waalimu wote walioajiriwa katika taasisi za kiislamu zilizosajiliwa serikalini ni makafiri na hizo taasisi pia ni za kikafiri. Hayo ni baadhi ya madai yao na katika mimbari zao walikuwa wakihubiri waziwazi uasi na kujitenga toka jamhuri ya muungano wa Tanzania na kuanzisha dola yao,Mzee Mohammed Said ndio unawakingia kifua makhwarij hawa waliokosa haya,adabu na heshima wala hawana elimu ya Qur an na Sunna iweje Mzee Mohammed Said upoteze wino wa kompyuta kutetea wapotevu hawa ambao wanaitakidi sisi sote tu makafiri?

Hawa ni wapotevu wanatakiwa kukemewa kila kona kwani huko waliko ilikuwa ni kero kwa wanaviji vya jirani wakiwabagua na kuwanyanyasa je Uislamu umefunza hayo?

Kijiji cha Madina mwanzo kabisa kinaanzishwa amir wao alikuwa Ustadh Mahanyu[0786864356] ni kijana muelewa alipojaribu kuweka mambo sawa na kuzuia jazba na itikadi za Kikhawarij wakamuita mnafiki na kumnyang'anya uamir na kumfukuza kijijini hapo,pia yumo Ustadh Kombo Ndevu wa BARAZA KUU [0787776680]yeye alipokosoa misimamo ya kikhawarij wakamfanyia unyama mkubwa kwa kumkufurisha kisha kutangaza mali zake zote zilizoko hapo ikiwemo mbuzi,mashamba na nyumba yake ni ngawira kwa hiyo wakampora vitu vyake vyote muulizeni Ustadh Kombo yuko hapo BARAZA KUU Dar es salam atawaeleza udhalimu wa hao makhawarij wa Madina lakini Allah amemlipia na wao yamewakuta,walikuwa wakimsifu sana Abud Roggo wa Mombasa eti amekufa shahid upi ushahidi wa Abud Rogo na alizikwa bila kuoshwa eti ni shahidi tazama makhawariji walivyo wajinga hawajafunzwa wala kusikia ya kuwa wanaozikwa namna hiyo ni wale waliofia ndani ya uwanja wa vita je Abood Roggo alifia uwanja wa vita?

Kama ingekuwa kila anayeuwa tu basi hakoshwi na kusaliwa tungeona mfano kwa makhalifa watukufu Omar,Othman na Ally hawa wote waliuawa mbona walioshwa na kusaliwa? Makhawarij wanadandia mambo pasina elimu na hawataki kujifunza mzee Mohammaed Said vipi watetea watu sampuli hii? Yote yaliyowapata wameyazalisha toka mikononi mwao wala hakuna wa kulaumiwa.

Mauwaji na uvunjaji wa misikiti Mauaji yaliyotokea ni zao la mikono yao kwani walikataa kutii amri halali ya polisi baada ya makusudi kumuuwa mgambo mkusanya ushuru na walikataa kulipa ushuru wakisema hawawezi kuilipa ushuru serikali ya kikafiri ya Kikwete je Mzee Mohammed Said huyajui hayo?huyo Imam Khamis alitoka na panga alipoambiwa alitupe chini yeye akajibu kuwa nao polisi watupe silaha zao chini je si amejitakia hayo?

Huyo kijana aliyepigwa risasi Abu Ruqaiya[Jeilani Saleh 0714140095] alikuwa ni muuza viazi mbatata soko la buguruni alikuwa wazi wazi akitangaza misimamo ya kikhawarij na siku alipoondoka kwenda Kilindi aliaga wazi eti anakwenda Kilindi kuchukua mafunzo ya jihadi na atakwenda Somalia kupigana jihadi kisha watarudi nchini kujitenga kutoka jamhuri ya muungano ya Tanzania, alionywa na nduguze juu ya misimamo hiyo hakusikia na sasa hivi amepona na ameachiwa toka rumande amerejea Dar es salaam yuko hapo buguruni sokoni amerudi katika shughuli zake za kuuza viazi mbatata mzee baada ya kisago alichopata sasa hivi ana heshima na adabu kaacha itikadi hiyo,mzee Mohammed Said ni vyema uende ukamtembelee umsikie madai yake na si kutegemea hizo cd zilizopikwa kwa makusudi kutengeneza uongo na kupandakiza chuki kusahau hatari ya kundi hilo na si kweli kuwa eti askari waliokwenda kufanya operesheni dhidi ya kundi hilo kule Madina na Kilindi ni wakristo si kweli kabisa mzee Mohammed Said usipandikize chuki zitakazopelekea maafa ndani ya nchi,usahihi ni kuwa mkuu wa operesheni hiyo bwana Ally Makene ni muislamu wa kuswali swala tano na wasaidizi wake wawili wote ni Waislamu na vijana kadhaa iweje mzee Mohammed Said ulete uzushi mkubwa wa namna hiyo hujui ni hatari hiyo mzee wetu?

Ndio yale yale machafuko yanaanza mwabeba familia zenu kukimbilia ulaya mkiacha wenzenu wanateseka.Allah atuepushie mbali.

JIHAD KATIKA USLAMU NA MTAZAMO SAHIHI Suala hili tutalijadili katika nukta hizi zifuatazo: Nukta ya kwanza: nataka ufahamu kwamba jamaa hawa wanaposema Jihad, hawakusudii Jihad kwa istilahi ya kisheria.

Wao wanakusudia Jihad kwa maana ya vita vya fitna, kama vile vya Somalia, kujilipua na kuuwa watu wasio na hatia wakiwemo watoto wadogo, wanawake na watu wazima na wasio na hatia, pamoja na kuangamiza mali za watu, kisha wanakimbia na kuwaachia balaa wazazi wao, wake zao, na waislamu kwa ujumla.

Kama wahuni hawa wa Kilindi na Madina wanakusudia Jihad kwa maana hii, basi sisi hatukubaliani na Jihad hiyo, kwa sababu si Jihad ya Kisheria. Na kama wao wanaona kuwa vitendo hivyo ni Jihad, basi ni nini hukumu ya kukimbia vitani? Kwa sababu wao wanapofanya mambo hayo halafu hukimbia! HUKUMU YA JIHAD, SHARTI ZAKE, AINA ZAKE NA MALENGO YAKE Sisi tunasema: Jihad ni ibada kama ibada nyingine, ina hukmu, vigawanyo, masharti na malengo kama zilivyokuwa ibada nyingine.

Wanachuoni wa kiislamu wameigawa Jihad kihukmu kwenye sehemu kuu mbili: 1. Faradh Kifaya. 2. Faradh Ain. Faradhi Kifaya, ni ile faradhi ambayo wakipatikana baadhi ya watu kuitekeleza, uwajibu wake unawaondokea waliobakia. Mfano:- Swala ya Jeneza (kumswalia Maiti) ni faradhi ya kutoshelezana, wakipatikana baadhi ya waislamu katika mji watakaomswalia muislamu mwenzao, madhambi yatawaondokea wengine, na kama hataswaliwa na mtu hata mmoja watapata madhambi watu wa mji mzima. Na faradhi Ain, ni ile faradhi ambayo inamlazimu kila mtu, na mtu mmoja hawezi akamtekelezea mwenzake.

Kama ibada ya Swaumu (funga) ya Ramadhani na Swala tano za kila siku, hakuna kutoshelezana katika faradhi hizi, ni lazima kila mtu atekeleza mwenyewena wakatangaza eti ni jihadisi hilo tu membari za miskiti yao hawa mabwana zilikuwa zikitumika kutangaza kujitenga na jamhuri ya Tanzania na kuanzisha serikali zao na wanasema wazi kuwa mheshimiwa rais Kikwete ni kafiri hafai kutiiwa pia walitangaza wazi wao wanaunga mkono kundi la Al Shabab na wanasema wazi makafiri wote pamoja Waislamu wote wasiokubaliana nao hukumu yao ni kukatwa vichwa!!?

Sijui dalili ya madai hayo wameyatoa wapi sasa watu namna hii ni wa kutetewa? Kutimuliwa pamoja na kuchomwa misikiti ya madhehebu yao hakunashaka kwa sababu misikiti yao waliitumia kuchafua sifa ya Uislamu na kueneza fitna kwa kuugawa umma wa kiislamu.

Bwana Chambuso Mzee Mohammed Said umeandika habari za bwana mdogo Chambuso na mkamuita ni sheikh kwa hakika Chambuso si Sheikh kwa sababu hana elimu ya kumfanya aitwe hivyo na pia tukilitumia sheikh kwa maana ya Mzee Chambuso si mzee ni kijana mdogo, pia huyu Chambuso ni kijana mzushi na mzandiki kwani alisema wazi akihamasisha Waislamu waende kupigana jihadi huko Handeni eti kwa sababu zaidi ya maimamu 30 wameuawa na serikali huko Kilindi na Madina jambo ambalo si kweli.

Chambuso hana ajualo ni jazba tu zimemtawala na ameshapewa nasaha na masheikh hapa Tanga lakini hasikii je anajua masharti ya jihadi na nani mwenye ruhusu ya kutangaza jihadi?

Mtu wa namna hii ni wa kuzingatiwa na kupewa coverage kubwa na mzee Mohammed Said? Hivyo unavyomuandika unampa kichwa aone ayafanyayo ni haki wakati yuko katika batili Chambuso hajui ya kuwa kukaa chini katika kazi yake ya kufunza watoto Qur an ni jihadi kubwa inayompatia thawabu mbele ya Allah, ingevamiwa madrasa yake hapa Tanga sote tungeshiriki kumtetea lakini sio kihelehele chake kwenda kutetea makhwariji wa Kilindi na Madina wanaochafua uzuri wa Uislamu huko amepotea njia na kilichompata amekizaa mwenyewe.

Wabillah Taufiq
 
Sasa wewe haya yote umeyajuaje au wewe ni sirikali? Hata hivyo ningefurahi wangeuwawa wote hawa wana jihad.
 
Habar hii nimeitoa kwa mtu makini sana,,ni habar ndefu kdogo ila uksoma utapata elimu ya mambo kuhusu uislam. Historia ya jamaa wa madina kilindi ambao pia abul faadhil na abu zakariyah walipata kwenda kuwafanyia nasaha. Walikotokea Vijana wengi wa kijiji cha madina wametokea jijini Dar es salaam masjid Haq buguruni na hawa wa Kilindi wanatokea Mabibo jijini Dar wengi wao walikuwa ni wafanyabishara wa soko la ndizi kule mabibo na walikuwa wakiswali masjid Othman msikiti wa chuo cha taifa cha usafirishaji[NIT]chini ya imamu sheikh Jadu Rafii Mcheni walikuwa wakisoma darsa la awali pale kwani wengi wao hawana ufahamu mzuri wa Uislamu, lakini kila masiku yanapozidi kusogea wakawa wanalikwepa darsa la sheikh Jadu badala yake walikuwa wakienda Tandika kwa sheikh wao mwenye misimamo hiyo bwana AbduRashid Ayubu na mwengine AbdulAziz ndio waliowajenga misimamo hiyo kwa sasa bwana AbdulRashid amejirudi kuuacha msimamo huo na ametangaza kutubu mbele ya Waislam msikiti wa mabibo na kurejea katika msimamo sahihi wa ahlusunna wal jamaa Madai yao. Wanasema hakuna Hijja kwa sasa kwa sababu serikali ya Saudia si ya Kiislamu. Hakuna kupeleka watoto shule za kisekula kwani elimu ya sekula ni ukafiri. Waislamu wote wanaofanya kazi serikalini,viongozi wa nchi akiwemo rais Kikwete,makamu Dr Bilali,Rais wa Zanzibar na makamu zake wote ni makafiri wanastahili kuuawa kwani hawaongozi kwa Qur an!!?. Hakuna kula nyama zote za mabuchani kwani wanaochinja ni watu wa bakwata kwao wao ni makafiri. Hakuna kuswali swala ya jamaa misikiti yote hii kwa sababu maimamu wote ni washirikina. Masheikh na waalimu wote walioajiriwa katika taasisi za kiislamu zilizosajiliwa serikalini ni makafiri na hizo taasisi pia ni za kikafiri. Hayo ni baadhi ya madai yao na katika mimbari zao walikuwa wakihubiri waziwazi uasi na kujitenga toka jamhuri ya muungano wa Tanzania na kuanzisha dola yao,Mzee Mohammed Said ndio unawakingia kifua makhwarij hawa waliokosa haya,adabu na heshima wala hawana elimu ya Qur an na Sunna iweje Mzee Mohammed Said upoteze wino wa kompyuta kutetea wapotevu hawa ambao wanaitakidi sisi sote tu makafiri? Hawa ni wapotevu wanatakiwa kukemewa kila kona kwani huko waliko ilikuwa ni kero kwa wanaviji vya jirani wakiwabagua na kuwanyanyasa je Uislamu umefunza hayo? Kijiji cha Madina mwanzo kabisa kinaanzishwa amir wao alikuwa Ustadh Mahanyu[0786864356] ni kijana muelewa alipojaribu kuweka mambo sawa na kuzuia jazba na itikadi za Kikhawarij wakamuita mnafiki na kumnyang¡¯anya uamir na kumfukuza kijijini hapo,pia yumo Ustadh Kombo Ndevu wa BARAZA KUU [0787776680]yeye alipokosoa misimamo ya kikhawarij wakamfanyia unyama mkubwa kwa kumkufurisha kisha kutangaza mali zake zote zilizoko hapo ikiwemo mbuzi,mashamba na nyumba yake ni ngawira kwa hiyo wakampora vitu vyake vyote muulizeni Ustadh Kombo yuko hapo BARAZA KUU Dar es salam atawaeleza udhalimu wa hao makhawarij wa Madina lakini Allah amemlipia na wao yamewakuta,walikuwa wakimsifu sana Abud Roggo wa Mombasa eti amekufa shahid upi ushahidi wa Abud Rogo na alizikwa bila kuoshwa eti ni shahidi tazama makhawariji walivyo wajinga hawajafunzwa wala kusikia ya kuwa wanaozikwa namna hiyo ni wale waliofia ndani ya uwanja wa vita je Abood Roggo alifia uwanja wa vita? Kama ingekuwa kila anayeuwa tu basi hakoshwi na kusaliwa tungeona mfano kwa makhalifa watukufu Omar,Othman na Ally hawa wote waliuawa mbona walioshwa na kusaliwa? Makhawarij wanadandia mambo pasina elimu na hawataki kujifunza mzee Mohammaed Said vipi watetea watu sampuli hii? Yote yaliyowapata wameyazalisha toka mikononi mwao wala hakuna wa kulaumiwa. Mauwaji na uvunjaji wa misikiti Mauaji yaliyotokea ni zao la mikono yao kwani walikataa kutii amri halali ya polisi baada ya makusudi kumuuwa mgambo mkusanya ushuru na walikataa kulipa ushuru wakisema hawawezi kuilipa ushuru serikali ya kikafiri ya Kikwete je Mzee Mohammed Said huyajui hayo?huyo Imam Khamis alitoka na panga alipoambiwa alitupe chini yeye akajibu kuwa nao polisi watupe silaha zao chini je si amejitakia hayo? Huyo kijana aliyepigwa risasi Abu Ruqaiya[Jeilani Saleh 0714140095] alikuwa ni muuza viazi mbatata soko la buguruni alikuwa wazi wazi akitangaza misimamo ya kikhawarij na siku alipoondoka kwenda Kilindi aliaga wazi eti anakwenda Kilindi kuchukua mafunzo ya jihadi na atakwenda Somalia kupigana jihadi kisha watarudi nchini kujitenga kutoka jamhuri ya muungano ya Tanzania, alionywa na nduguze juu ya misimamo hiyo hakusikia na sasa hivi amepona na ameachiwa toka rumande amerejea Dar es salaam yuko hapo buguruni sokoni amerudi katika shughuli zake za kuuza viazi mbatata mzee baada ya kisago alichopata sasa hivi ana heshima na adabu kaacha itikadi hiyo,mzee Mohammed Said ni vyema uende ukamtembelee umsikie madai yake na si kutegemea hizo cd zilizopikwa kwa makusudi kutengeneza uongo na kupandakiza chuki kusahau hatari ya kundi hilo na si kweli kuwa eti askari waliokwenda kufanya operesheni dhidi ya kundi hilo kule Madina na Kilindi ni wakristo si kweli kabisa mzee Mohammed Said usipandikize chuki zitakazopelekea maafa ndani ya nchi,usahihi ni kuwa mkuu wa operesheni hiyo bwana Ally Makene ni muislamu wa kuswali swala tano na wasaidizi wake wawili wote ni Waislamu na vijana kadhaa iweje mzee Mohammed Said ulete uzushi mkubwa wa namna hiyo hujui ni hatari hiyo mzee wetu? Ndio yale yale machafuko yanaanza mwabeba familia zenu kukimbilia ulaya mkiacha wenzenu wanateseka.Allah atuepushie mbali. JIHAD KATIKA USLAMU NA MTAZAMO SAHIHI Suala hili tutalijadili katika nukta hizi zifuatazo: Nukta ya kwanza: nataka ufahamu kwamba jamaa hawa wanaposema Jihad, hawakusudii Jihad kwa istilahi ya kisheria. Wao wanakusudia Jihad kwa maana ya vita vya fitna, kama vile vya Somalia, kujilipua na kuuwa watu wasio na hatia wakiwemo watoto wadogo, wanawake na watu wazima na wasio na hatia, pamoja na kuangamiza mali za watu, kisha wanakimbia na kuwaachia balaa wazazi wao, wake zao, na waislamu kwa ujumla. Kama wahuni hawa wa Kilindi na Madina wanakusudia Jihad kwa maana hii, basi sisi hatukubaliani na Jihad hiyo, kwa sababu si Jihad ya Kisheria. Na kama wao wanaona kuwa vitendo hivyo ni Jihad, basi ni nini hukumu ya kukimbia vitani? Kwa sababu wao wanapofanya mambo hayo halafu hukimbia! HUKUMU YA JIHAD, SHARTI ZAKE, AINA ZAKE NA MALENGO YAKE Sisi tunasema: Jihad ni ibada kama ibada nyingine, ina hukmu, vigawanyo, masharti na malengo kama zilivyokuwa ibada nyingine. Wanachuoni wa kiislamu wameigawa Jihad kihukmu kwenye sehemu kuu mbili: 1. Faradh Kifaya. 2. Faradh Ain. Faradhi Kifaya, ni ile faradhi ambayo wakipatikana baadhi ya watu kuitekeleza, uwajibu wake unawaondokea waliobakia. Mfano:- Swala ya Jeneza (kumswalia Maiti) ni faradhi ya kutoshelezana, wakipatikana baadhi ya waislamu katika mji watakaomswalia muislamu mwenzao, madhambi yatawaondokea wengine, na kama hataswaliwa na mtu hata mmoja watapata madhambi watu wa mji mzima. Na faradhi Ain, ni ile faradhi ambayo inamlazimu kila mtu, na mtu mmoja hawezi akamtekelezea mwenzake. Kama ibada ya Swaumu (funga) ya Ramadhani na Swala tano za kila siku, hakuna kutoshelezana katika faradhi hizi, ni lazima kila mtu atekeleza mwenyewena wakatangaza eti ni jihadisi hilo tu membari za miskiti yao hawa mabwana zilikuwa zikitumika kutangaza kujitenga na jamhuri ya Tanzania na kuanzisha serikali zao na wanasema wazi kuwa mheshimiwa rais Kikwete ni kafiri hafai kutiiwa pia walitangaza wazi wao wanaunga mkono kundi la Al Shabab na wanasema wazi makafiri wote pamoja Waislamu wote wasiokubaliana nao hukumu yao ni kukatwa vichwa!!? Sijui dalili ya madai hayo wameyatoa wapi sasa watu namna hii ni wa kutetewa? Kutimuliwa pamoja na kuchomwa misikiti ya madhehebu yao hakunashaka kwa sababu misikiti yao waliitumia kuchafua sifa ya Uislamu na kueneza fitna kwa kuugawa umma wa kiislamu. Bwana Chambuso Mzee Mohammed Said umeandika habari za bwana mdogo Chambuso na mkamuita ni sheikh kwa hakika Chambuso si Sheikh kwa sababu hana elimu ya kumfanya aitwe hivyo na pia tukilitumia sheikh kwa maana ya Mzee Chambuso si mzee ni kijana mdogo, pia huyu Chambuso ni kijana mzushi na mzandiki kwani alisema wazi akihamasisha Waislamu waende kupigana jihadi huko Handeni eti kwa sababu zaidi ya maimamu 30 wameuawa na serikali huko Kilindi na Madina jambo ambalo si kweli. Chambuso hana ajualo ni jazba tu zimemtawala na ameshapewa nasaha na masheikh hapa Tanga lakini hasikii je anajua masharti ya jihadi na nani mwenye ruhusu ya kutangaza jihadi? Mtu wa namna hii ni wa kuzingatiwa na kupewa coverage kubwa na mzee Mohammed Said? Hivyo unavyomuandika unampa kichwa aone ayafanyayo ni haki wakati yuko katika batili Chambuso hajui ya kuwa kukaa chini katika kazi yake ya kufunza watoto Qur an ni jihadi kubwa inayompatia thawabu mbele ya Allah, ingevamiwa madrasa yake hapa Tanga sote tungeshiriki kumtetea lakini sio kihelehele chake kwenda kutetea makhwariji wa Kilindi na Madina wanaochafua uzuri wa Uislamu huko amepotea njia na kilichompata amekizaa mwenyewe. Wabillah Taufiq
wakuu nani ni muumini?
 
Du haya mambo kimsingi yanahitaji umakini sana, wakati mwingine tunakosea kwa kukubali watu wengine kutucontrol psychologically hata wakibomolewa hyo miskit ingefaa wakamatwe ili wapewe elimu na wajirekebishe otherwise wataendelea kuharibu na wengine pia
 
Habar hii nimeitoa kwa mtu makini sana,,ni habar ndefu kdogo ila uksoma utapata elimu ya mambo kuhusu uislam.

Historia ya jamaa wa madina kilindi ambao pia abul faadhil na abu zakariyah walipata kwenda kuwafanyia nasaha.

Walikotokea Vijana wengi wa kijiji cha madina wametokea jijini Dar es salaam masjid Haq buguruni na hawa wa Kilindi wanatokea Mabibo jijini Dar wengi wao walikuwa ni wafanyabishara wa soko la ndizi kule mabibo na walikuwa wakiswali masjid Othman msikiti wa chuo cha taifa cha usafirishaji[NIT]chini ya imamu sheikh Jadu Rafii Mcheni walikuwa wakisoma darsa la awali pale kwani wengi wao hawana ufahamu mzuri wa Uislamu, lakini kila masiku yanapozidi kusogea wakawa wanalikwepa darsa la sheikh Jadu badala yake walikuwa wakienda Tandika kwa sheikh wao mwenye misimamo hiyo bwana AbduRashid Ayubu na mwengine AbdulAziz ndio waliowajenga misimamo hiyo kwa sasa bwana AbdulRashid amejirudi kuuacha msimamo huo na ametangaza kutubu mbele ya Waislam msikiti wa mabibo na kurejea katika msimamo sahihi wa ahlusunna wal jamaa
Madai yao. Wanasema hakuna Hijja kwa sasa kwa sababu serikali ya Saudia si ya Kiislamu.

Hakuna kupeleka watoto shule za kisekula kwani elimu ya sekula ni ukafiri. Waislamu wote wanaofanya kazi serikalini,viongozi wa nchi akiwemo rais Kikwete,makamu Dr Bilali,Rais wa Zanzibar na makamu zake wote ni makafiri wanastahili kuuawa kwani hawaongozi kwa Qur an!!?. Hakuna kula nyama zote za mabuchani kwani wanaochinja ni watu wa bakwata kwao wao ni makafiri.

Hakuna kuswali swala ya jamaa misikiti yote hii kwa sababu maimamu wote ni washirikina. Masheikh na waalimu wote walioajiriwa katika taasisi za kiislamu zilizosajiliwa serikalini ni makafiri na hizo taasisi pia ni za kikafiri. Hayo ni baadhi ya madai yao na katika mimbari zao walikuwa wakihubiri waziwazi uasi na kujitenga toka jamhuri ya muungano wa Tanzania na kuanzisha dola yao,Mzee Mohammed Said ndio unawakingia kifua makhwarij hawa waliokosa haya,adabu na heshima wala hawana elimu ya Qur an na Sunna iweje Mzee Mohammed Said upoteze wino wa kompyuta kutetea wapotevu hawa ambao wanaitakidi sisi sote tu makafiri?

Hawa ni wapotevu wanatakiwa kukemewa kila kona kwani huko waliko ilikuwa ni kero kwa wanaviji vya jirani wakiwabagua na kuwanyanyasa je Uislamu umefunza hayo?

Kijiji cha Madina mwanzo kabisa kinaanzishwa amir wao alikuwa Ustadh Mahanyu[0786864356] ni kijana muelewa alipojaribu kuweka mambo sawa na kuzuia jazba na itikadi za Kikhawarij wakamuita mnafiki na kumnyang’anya uamir na kumfukuza kijijini hapo,pia yumo Ustadh Kombo Ndevu wa BARAZA KUU [0787776680]yeye alipokosoa misimamo ya kikhawarij wakamfanyia unyama mkubwa kwa kumkufurisha kisha kutangaza mali zake zote zilizoko hapo ikiwemo mbuzi,mashamba na nyumba yake ni ngawira kwa hiyo wakampora vitu vyake vyote muulizeni Ustadh Kombo yuko hapo BARAZA KUU Dar es salam atawaeleza udhalimu wa hao makhawarij wa Madina lakini Allah amemlipia na wao yamewakuta,walikuwa wakimsifu sana Abud Roggo wa Mombasa eti amekufa shahid upi ushahidi wa Abud Rogo na alizikwa bila kuoshwa eti ni shahidi tazama makhawariji walivyo wajinga hawajafunzwa wala kusikia ya kuwa wanaozikwa namna hiyo ni wale waliofia ndani ya uwanja wa vita je Abood Roggo alifia uwanja wa vita?

Kama ingekuwa kila anayeuwa tu basi hakoshwi na kusaliwa tungeona mfano kwa makhalifa watukufu Omar,Othman na Ally hawa wote waliuawa mbona walioshwa na kusaliwa? Makhawarij wanadandia mambo pasina elimu na hawataki kujifunza mzee Mohammaed Said vipi watetea watu sampuli hii? Yote yaliyowapata wameyazalisha toka mikononi mwao wala hakuna wa kulaumiwa.

Mauwaji na uvunjaji wa misikiti Mauaji yaliyotokea ni zao la mikono yao kwani walikataa kutii amri halali ya polisi baada ya makusudi kumuuwa mgambo mkusanya ushuru na walikataa kulipa ushuru wakisema hawawezi kuilipa ushuru serikali ya kikafiri ya Kikwete je Mzee Mohammed Said huyajui hayo?huyo Imam Khamis alitoka na panga alipoambiwa alitupe chini yeye akajibu kuwa nao polisi watupe silaha zao chini je si amejitakia hayo?

Huyo kijana aliyepigwa risasi Abu Ruqaiya[Jeilani Saleh 0714140095] alikuwa ni muuza viazi mbatata soko la buguruni alikuwa wazi wazi akitangaza misimamo ya kikhawarij na siku alipoondoka kwenda Kilindi aliaga wazi eti anakwenda Kilindi kuchukua mafunzo ya jihadi na atakwenda Somalia kupigana jihadi kisha watarudi nchini kujitenga kutoka jamhuri ya muungano ya Tanzania, alionywa na nduguze juu ya misimamo hiyo hakusikia na sasa hivi amepona na ameachiwa toka rumande amerejea Dar es salaam yuko hapo buguruni sokoni amerudi katika shughuli zake za kuuza viazi mbatata mzee baada ya kisago alichopata sasa hivi ana heshima na adabu kaacha itikadi hiyo,mzee Mohammed Said ni vyema uende ukamtembelee umsikie madai yake na si kutegemea hizo cd zilizopikwa kwa makusudi kutengeneza uongo na kupandakiza chuki kusahau hatari ya kundi hilo na si kweli kuwa eti askari waliokwenda kufanya operesheni dhidi ya kundi hilo kule Madina na Kilindi ni wakristo si kweli kabisa mzee Mohammed Said usipandikize chuki zitakazopelekea maafa ndani ya nchi,usahihi ni kuwa mkuu wa operesheni hiyo bwana Ally Makene ni muislamu wa kuswali swala tano na wasaidizi wake wawili wote ni Waislamu na vijana kadhaa iweje mzee Mohammed Said ulete uzushi mkubwa wa namna hiyo hujui ni hatari hiyo mzee wetu?

Ndio yale yale machafuko yanaanza mwabeba familia zenu kukimbilia ulaya mkiacha wenzenu wanateseka.Allah atuepushie mbali.

JIHAD KATIKA USLAMU NA MTAZAMO SAHIHI Suala hili tutalijadili katika nukta hizi zifuatazo: Nukta ya kwanza: nataka ufahamu kwamba jamaa hawa wanaposema Jihad, hawakusudii Jihad kwa istilahi ya kisheria.

Wao wanakusudia Jihad kwa maana ya vita vya fitna, kama vile vya Somalia, kujilipua na kuuwa watu wasio na hatia wakiwemo watoto wadogo, wanawake na watu wazima na wasio na hatia, pamoja na kuangamiza mali za watu, kisha wanakimbia na kuwaachia balaa wazazi wao, wake zao, na waislamu kwa ujumla.

Kama wahuni hawa wa Kilindi na Madina wanakusudia Jihad kwa maana hii, basi sisi hatukubaliani na Jihad hiyo, kwa sababu si Jihad ya Kisheria. Na kama wao wanaona kuwa vitendo hivyo ni Jihad, basi ni nini hukumu ya kukimbia vitani? Kwa sababu wao wanapofanya mambo hayo halafu hukimbia! HUKUMU YA JIHAD, SHARTI ZAKE, AINA ZAKE NA MALENGO YAKE Sisi tunasema: Jihad ni ibada kama ibada nyingine, ina hukmu, vigawanyo, masharti na malengo kama zilivyokuwa ibada nyingine.

Wanachuoni wa kiislamu wameigawa Jihad kihukmu kwenye sehemu kuu mbili: 1. Faradh Kifaya. 2. Faradh Ain. Faradhi Kifaya, ni ile faradhi ambayo wakipatikana baadhi ya watu kuitekeleza, uwajibu wake unawaondokea waliobakia. Mfano:- Swala ya Jeneza (kumswalia Maiti) ni faradhi ya kutoshelezana, wakipatikana baadhi ya waislamu katika mji watakaomswalia muislamu mwenzao, madhambi yatawaondokea wengine, na kama hataswaliwa na mtu hata mmoja watapata madhambi watu wa mji mzima. Na faradhi Ain, ni ile faradhi ambayo inamlazimu kila mtu, na mtu mmoja hawezi akamtekelezea mwenzake.

Kama ibada ya Swaumu (funga) ya Ramadhani na Swala tano za kila siku, hakuna kutoshelezana katika faradhi hizi, ni lazima kila mtu atekeleza mwenyewena wakatangaza eti ni jihadisi hilo tu membari za miskiti yao hawa mabwana zilikuwa zikitumika kutangaza kujitenga na jamhuri ya Tanzania na kuanzisha serikali zao na wanasema wazi kuwa mheshimiwa rais Kikwete ni kafiri hafai kutiiwa pia walitangaza wazi wao wanaunga mkono kundi la Al Shabab na wanasema wazi makafiri wote pamoja Waislamu wote wasiokubaliana nao hukumu yao ni kukatwa vichwa!!?

Sijui dalili ya madai hayo wameyatoa wapi sasa watu namna hii ni wa kutetewa? Kutimuliwa pamoja na kuchomwa misikiti ya madhehebu yao hakunashaka kwa sababu misikiti yao waliitumia kuchafua sifa ya Uislamu na kueneza fitna kwa kuugawa umma wa kiislamu.

Bwana Chambuso Mzee Mohammed Said umeandika habari za bwana mdogo Chambuso na mkamuita ni sheikh kwa hakika Chambuso si Sheikh kwa sababu hana elimu ya kumfanya aitwe hivyo na pia tukilitumia sheikh kwa maana ya Mzee Chambuso si mzee ni kijana mdogo, pia huyu Chambuso ni kijana mzushi na mzandiki kwani alisema wazi akihamasisha Waislamu waende kupigana jihadi huko Handeni eti kwa sababu zaidi ya maimamu 30 wameuawa na serikali huko Kilindi na Madina jambo ambalo si kweli.

Chambuso hana ajualo ni jazba tu zimemtawala na ameshapewa nasaha na masheikh hapa Tanga lakini hasikii je anajua masharti ya jihadi na nani mwenye ruhusu ya kutangaza jihadi?

Mtu wa namna hii ni wa kuzingatiwa na kupewa coverage kubwa na mzee Mohammed Said? Hivyo unavyomuandika unampa kichwa aone ayafanyayo ni haki wakati yuko katika batili Chambuso hajui ya kuwa kukaa chini katika kazi yake ya kufunza watoto Qur an ni jihadi kubwa inayompatia thawabu mbele ya Allah, ingevamiwa madrasa yake hapa Tanga sote tungeshiriki kumtetea lakini sio kihelehele chake kwenda kutetea makhwariji wa Kilindi na Madina wanaochafua uzuri wa Uislamu huko amepotea njia na kilichompata amekizaawani mwenyewe.

Wabillah Taufiq

Hayawani
 
SWAZ nna uhakika ----------- kwa thamani ndogo sana.
 
Last edited by a moderator:
Kwako mgen na Ponera acheni ushamba na umbumbumbu wa kucopy nyuzi ndefu kama hii wakati wa kuchangia.
Back to the topic!
Hawa jamaa walikuwa ni hatari kwa usalama wa nchi nashauri wakamatwe wafadhiri wao wakubwa kama abiora na wengine wenye mahusiano ya karibu na mtandao wa al shabab.. Make nje ya kufadhiriwa pia eneo walilokuwa wakikaa hawa jamaa lina utajiri wa madini ya dhahabu na ya vito hasa ruby, amerthist na hata green galnet na tayari walishaanza kujihusisha na uchimbaji!! Ni hatari sana ila tunashukru serikali imewadhibiti mapema vingnevyo wangeendelea kuwepo pale, within no time jamaa wangechafua anga la amani ya nchi yetu na isitoshe pale ndo ilikuwa kituo cha mapumziko ya wahamiaji na usafrishaji haram wa wasomali kwenda south africa etc.
 
Last edited by a moderator:
jf kuna mambo! Mimi muumini wa dini za mababu nimeogopa, ngoja nichungulie nje....!
 
Tutajua mengi tu, huu ni wakati mwingine yaliyo nyuma ya pazia yamewekwa juu ya dari wote tunaona. SASA WAJE HAPA WAYAKANE HAYA. Kwanini udhuru wenzako kwa sababu ya imani yako. Sintasahau kuna mtu alikuwa anapigia upatu huu ujinga wakuua Christians, akaulizwa na wenzake (Muslims) vipi wewe ni mkamilifu sana? Mbona wewe tunakufahmu ni mwizi, Je, tukuue? Jamaa akawa speechless. Usihukumu ili upate rehema mbele za Mungu, hakuna sababu ya Muslim kumnyanyasa Muslim mwenzake same applies to other believers like christians, budha, hindus etc
 
mkuu swaz umenena jambo la muhimu sana jambo ambalo kwa sasa ukilisema mbele ya vijana wenzetu wengi wa kiislam utaambiwa hakuna pepo ya chapati na mchuzi, yaani hakuna pepo kiulaini, naamini kuna mapungufu makubwa ya kielimu upande wa dini hali inayofanya vijana wengi tuongozwe na HAMASA badala ya elimu, wengi wetu tunatekwa kwa nembo ya jihadi lakini maskini tunajiangamiza bure.
ushauri kwa vijana wenzetu tusikubali kutumiwa na baadhi ya wanaojiita masheikh kumbe lengo lao ni uharibifu pia twendeni madarasani tuusome uislam wa kweli tuache kutumika kufanya uhalifu kwa kisingizio cha jihadi, na pia khilafah ni zawadi aitoayo mwenyewe Allah sw baada ya kutii maamrisho yake kwa kiwango anachotaka na si kwa nguvu zetu.
 
kama umemlenga mohamed saidi siungempekelea kwake

Na wewe ni gaidi nini? sasa kwanini ulikimbia msituni? umekosa kwenda peponi haraka,sirikali ingekupeleka!! Tulia mkuu next time watakupereka peponi japo unapaogopa ila utaenda bila kutaka.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom