Khawarizm
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 203
- 230
nimependezwa sana na huu mjadala japo ulikua mwaka 2011, nakubaliana na ww kama wazee wa kiislam wangefanya harakat za uhuru kwa nafas ya nyerere, 2ngekua kama rwanda na burundi 2! 2ngekwisha.
Kwahiyo wale Wanyaruwanda na Warundi wote wale wameuwana kwa sababu ya viongozi wao wa Uislam kina Kagame hao na Nguruziza.
Stereotyping na ignorance ya makusudi ya kutokufanya uchunguzi wa mambo na Udini wako ndio unakisumbua sana.