Historia ya neno Msela na Baharia

IMG-20190907-WA0042.jpg
IMG-20190907-WA0041.jpg
IMG-20190907-WA0040.jpg
IMG-20190907-WA0039.jpg
IMG-20190907-WA0041.jpg
IMG-20190907-WA0040.jpg
IMG-20190907-WA0039.jpg
 
Hata ukipata hiyo PM utakuwa n uhakika gani jinsia ya aliyekutext ni mwanamke...?
 
Oyaa mabahari kwema?
Kuna afisa manunuzi kazini anaonyesha dalili za kunipenda. Ni mkubwa kidogo kwangu au tunawiana kwa umri.
Akija ofisini kwetu akinikuta nipo na masela ananichangamkia sana na kuniachia pesa then anasepa.
Akija akinikuta nipo na mdada hanichangamkii na hajawahi kunipa pesa pindi anaponikuta nimekaa na mdada wadada.
Kuna jamaa nasikia kamjengea nyumba huyu afisa kabla hajawa na vichenji. Sasa ni zilipendwa ila wanakumbushia enzi inaonyesha mara moja moja.
Vipi nimfungukie au nimpotezee?
 
Back
Top Bottom