maishapopote
JF-Expert Member
- May 28, 2009
- 3,277
- 5,514
Nimeangalia documentary ya chief mkwawa leo,kuna kitu nitawauliza waliokiona je kuna namna Yoyote tunalingana nae? Wanaume wa sinza wanaopaka poda,wa kinondoni wenye vitambi na makunyanzi.... Masharobaro.. Je tukiangalia kiundani je hatujapoteza utamaduni weTu? Je sisi ni wanaume au?