zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 19,314
- 29,183
Endelea kusema hivyo mwami mwambutsa yukwapi??? Mwami ntare yukwapi??? Acheni kiburi UPRONA kilifia wapi??? Cockroach movement ya 2982 iliishia wapi?? Banyamulenge waliishia wapi???Ni vigumu mtu kutupiga ukitokea nje!! So Waache wasubiri saana
Tutsi are not invisible ni vile wahutu wapole sana cku wakiwaamulia hamtokaa muamini