Historia ya Bendera ya Zanzibar

Asante sana kwa hii shule kubwa. Sasa tinataka bendera ya Tanganyika irudi kama ilivyokuwa hapo awali.
 
jukwaa nahitaji sababu za maana. itikadi ya vyama iwe pembeni. katika siku ya mapinduzi Zanzibar kuna bendara ya taifa hilo inapepea. nataka kujua logic ya bendera hiyo kupeperushwa ilhali sasa hivi Zanzibar ni sehemu ya tanzania na pia kwa nini vigezo hivyo vilivyotumika kuipeperusha isitumike kupeperusha bendera ya tanganyika. mfano mzuri ni nchi ya marekani ambapo majimbo yote yanapeperusha bendera ya nchi ilihali zilikuwa na bendera zao kama nchi.
mwenye kukagua jeshi huwa ni mkuu wa majeshi. kwa nini kikwete hajakagua majeshi? anayebisha kuna double standard alete vielelezo thabiti bila kumung'unya maneno

busara na elimu thabiti vichukue hatamu.
 
Nimejifunza mengi juu ya historia ya bendera. Kumbe hakuna shida kuirudisha bendera ya Tamgayika Huru.
 
Back
Top Bottom