Makinda amesema, kambi ya upinzani isitegemee kuwa kutakuwa na mteremko katika utoaji wa maamuzi, yatatolewa kwa kufuata taratibu na kanuni za Bunge.
Amesema, wabunge wote wanapaswa kazifahamu kanuni za Bunge ili wasije kulalamika unapotolewa uamuzi kwa kufuata kanuni hizo.
Lile joho la spika si la kiume na la pesa nyingi sana?
Huyu hana hata hekima wala busara, kazi ya spika si tu kuangalia sheria na kanuni za bunge..lazima uchukue daraja la juu kuliko hilo. It is the matter how the society will benefit na mijadala husika. Kama ni kufuata sheri na kanuni we could even employ a robot to do that!
Sasa hapa anaandaa defense mechanism mapema kabisa na inaonekana amepania kuwa crush na kuwatrash wabunge wa upinzani na wengine wote watakaoonekana wanataka kuibua uozo wa serikali ya CCM.
hata 6 alikuwa kiafanya hayo unayosema matokeo yake akaonekana kigeugeu machoni pa kila mtu, na sasa amevuna alichopanda. sheria na kanuni zimewekwa kuweka a predictable work environment pale bungeni. kinyume chake utafanya bunge kuwa sehemu amabayo hata mtu akinyimwa unyumba huko alikotoka hasira zake anahamishea bungeni. itakuwa chaos. dont undermine sheria, kanuni na taratibu kwa sababu tu ya myazamo wako binafsi kumwelekea mama wa watu