Umekula chumvi mkuu..!R.i.P Classmates....😪
Mmeniacha mwenyewe na mwa J mbwa yule...🤨
Mgombea mwenza wa CDM alikuwa nan
Salum Mwalimu?!!🐼
Babu DuniMgombea mwenza wa CDM alikuwa nan
Mkuu sijui. Muulize yogaKwamba wote walisalimiana wakiwa chato kule!!?
Kwamba walikua na mfanano fulani ndio maana walitangulia in series!!?
Walikua na mapatano Fulani hapo mbeleni !!?yaani serikali kadhaa halafu wewe uwe kule huku mwingine na mimi nakua mkuu wenu au!!?yaani like Bunge la mihula sabaha!!?
Au!!?
Samweli sitta,Augustino mahigaUmesema vyema, utaiba, utaumiza, utajilimbikizia majumba na kuacha wengi wanalala nje lakni unaishia kusafirishwa mkoani kulazwa kakiwanja ya nusu hatua.
Mgombea mwenza wa CDM alikuwa nan
Kwani walienda fanya kazi huko?Wagombea Uraisi mwaka 2015,
John Magufuli
Edward Lowasa
Anna Mghwira
Benard Membe
Maalim Seif`
Mungu awapumzishe uko mlipo
We acha tu,inauma Sana.Umesema vyema, utaiba, utaumiza, utajilimbikizia majumba na kuacha wengi wanalala nje lakni unaishia kusafirishwa mkoani kulazwa kakiwanja ya nusu hatua.
Hawapo wengine kweli?😎Amebakia Queen Sendiga.
Na Hashimu Rungwe Spunda!Hawapo wengine kweli?😎
yule bado binti mdogo sana, habari za kudhoofu kwa maradhi ya uzeeni bado sanaAmebakia Queen Sendiga.