Historia itajirudia Qatar, Croatia itabeba ndoo

mahindi hayaoti mjini

JF-Expert Member
Nov 29, 2022
1,220
1,267
Wengi hawajui ila historia ina nafasi kubwa maishani.

Wanaoitunza hufahamu mengi hata kabla ya tukio hivyo kupelekea kupatia kiasi kwenye jambo husika

Nisiwachoshe iko hivi;
  • 1986 fainali Argentina na Ujerumani, Argentina akabeba ndoo
  • Miaka minne baadae 1990 fainali Argentina na Ujerumani, Ujerumani akabeba ndoo
  • Sasa 2018 Ufaransa na Croatia, Ufaransa akabeba
  • Na sasa, Itajirudia Croatia na Ufaransa na croatia itabeba
Nb
Sio lazima iwe hivyo
 
Back
Top Bottom