Historia inaweza ikaandikwa mwaka 2025

cleokippo

JF-Expert Member
Dec 21, 2014
2,072
1,697
Habari za usiku huu wana nzengo, kutokana na research niliyofanya kupitia sample (x) nimegundua ya kwamba Oktoba 2025 historia inaenda kuandikwa hapa Tanzania.

Mama huenda ndiyo akawa raisi pekee wa Tanzania kukaa madarakan kwa muda mfupi (5years).

Majority ya Watanzania wamekuwa wakilalamikia sana mfumo kutokana na ugumu wa maisha na changamoto kadha wa kadha wanazopitia kwenye kipindi hiki cha uongozi

Miongoni mwa changamoto hizo zinazolalamikiwa na wapiga kura ni pamoja na umeme, maji, huduma za afya pamoja na kupanda kwa gharama za maisha.

Tukianzia kwenye umeme;

Mgawo wa umeme umeathiri kwa kiasi kikubwa sana shughuli za uchumi au uzalishaji mali hii ni kutokana na wale wote wanaotegemea umeme kama ndio ajira yao kukwama

Mfano, viwanda vidogo vidogo vya uzalishaji, wachomeleaji, saloon, wafanya biashara za vinywaji, wauza nyama na samaki nk

Sekta zote hizo na nyingi ambazo sijazitaja hukwama kutokana na mgao huo wa umeme unaoendelea hivi sasa nchi nzima.

Maji pia ni sekta muhimu sana katika uzalishaji au kuchochea uchumi

Kukosekana kwa maji kunapelekea shughuli nyingi za kiuchumi kukwama

Mfano, ujenzi, akina mama lishe wanashindwa kutoa huduma kutokana na ukosefu wa maj, wenye ma carwash, vyoo vya kulipia nk.

Hivyo basi kukosekana kwa huduma hizi kunapelekea mambo mengi sana ku fail na ndiyo maana Watanzania wengi wanalalamika mitaani hatimaye kujenga chuki dhidi ya serikali iliyopo madarakan maana haya mambo yoooote hayakuwepo kipindi cha hayat magufuli

Sasa basi kutokana na malalamiko kuwa mengi mtaani ni iman yangu kwamba 2025 historia itaenda kuandikwa
 
Habari za usiku huu wana nzengo, kutokana na research niliyofanya kupitia sample (x) nimegundua ya kwamba oktoba 2025 historia inaenda kuandikwa hapa Tanzania.

Mama huenda ndiyo akawa raisi pekee wa Tanzania kukaa madarakan kwa muda mfupi (5years).

Majority ya Watanzania wamekuwa wakilalamikia sana mfumo kutokana na ugumu wa maisha na changamoto kadha wa kadha wanazopitia kwenye kipindi hiki cha uongozi

Miongoni mwa changamoto hizo zinazolalamikiwa na wapiga kura ni pamoja na umeme, maji, huduma za afya pamoja na kupanda kwa gharama za maisha.

Tukianzia kwenye umeme;

Mgawo wa umeme umeathiri kwa kiasi kikubwa sana shughuli za uchumi au uzalishaji mali hii ni kutokana na wale wote wanaotegemea umeme kama ndio ajira yao kukwama

Mfano, viwanda vidogo vidogo vya uzalishaji, wachomeleaji, saloon, wafanya biashara za vinywaji, wauza nyama na samaki nk

Sekta zote hizo na nyingi ambazo sijazitaja hukwama kutokana na mgao huo wa umeme unaoendelea hivi sasa nchi nzima.

Maji pia ni sekta muhimu sana katika uzalishaji au kuchochea uchumi

Kukosekana kwa maji kunapelekea shughuli nyingi za kiuchumi kukwama

Mfano, ujenzi, akina mama lishe wanashindwa kutoa huduma kutokana na ukosefu wa maj, wenye ma carwash, vyoo vya kulipia nk.

Hivyo basi kukosekana kwa huduma hizi kunapelekea mambo mengi sana ku fail na ndiyo maana Watanzania wengi wanalalamika mitaani hatimaye kujenga chuki dhidi ya serikali iliyopo madarakan maana haya mambo yoooote hayakuwepo kipindi cha hayat magufuli

Sasa basi kutokana na malalamiko kuwa mengi mtaani ni iman yangu kwamba 2025 historia itaenda kuandikwa
Kukaa kando au kuwekwa kando ni jambo njema,
Je rais wa Tanzania anachanguliwa na sanduku later kura au anapendekezwa na Deep State?
 
Tangu mfumo wa Vyama vingi umeanzishwa hakuna uchaguzi ambao Watabiri hawakutabiri ndio mwisho wa CCM
Mkuu mpaka sasa imebaki 2025 tu niamini unajimu wa shiekh yaya na maswala ya nyota, maana alitabiri kikwete atamaliza miaka 10, atakuja raisi mwingine atamaliza muhura wa kwanza na muhura wa pili atafiia madarakani na nchi itatawaliwa na mwanamke, na 2025 upinzani itachukua nchi, hayo mengine yote yametokea limebaki la upinzani kuchukua nchi 2025 tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom