The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,366
- 17,364
Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake.
Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka ajabu tu tayari amekupenda.
Lakini hii ya wanawake zetu kupenda watu hovyo inatokana pia na umasikini wetu. Kutokana na umasikini wetu tunafanya vitu vidogo vidogo kama ni upendo.
Mfano, unakutana na mwanamke anatumia tecno, unajibana unamnunulia Samsung ama Iphone basi yeye hutafsiri kua unampenda kumbe hilo ni jambo la kawaida kabisa kumhudumia mwanamke wako.
Kwa Wanawake, mwanaume ukiwa gentleman tu kidogo tayari ameshakupenda. Hili jambo kwa kweli mimi silipendi kwa sababu mwanamke akishakupenda tu anaanza kua msumbufu na kua kero, atataka afuatilie mienendo yako, apige simu muda wowote na usipopokea ni malalamiko, akituma text anataka ujibu kwa haraka na kadhalika na hapo ndio mimi nakwazika zaidi.
Ngoja nilale asubuhi nitamalizia hii mada.