Hisia za wananchi wa Jimbo la Arusha (M), muda mfupi baada ya Lema kushinda rufaa

habari hizi ziwafikie akina Wasira, Nape, na Lukuvi....... Habari ndiyo iyo Dodoma hapatoshi......
Wazee wetu walisema, "Haki ya mtu hucheleweshwa lakini haipotei hta siku moja" Hongera Lema, Hongera CDM, hongera Arusha, Hongera Tanzania,,.....
Majaji wa aina hii walikuwa wapi wakati hukumu ya kwanza inatolewa kisiasa?
 
Wana Arusha wana haki ya kufurahi baada ya kunyimwa haki yao ya msingi ya kuwakilishwa Bungeni kwa zaidi ya nusu mwaka, kwa sababu ya matakwa ya kundi fulani. Bado tuna safari ndefu kutoka 'domokrasia' kuelekea 'demokrasia'. Hata hivyo, yatupasa kuiendea njia hiyo maana kuendelea kubaki na 'domokrasia' ni gharama kubwa na hatari zaidi
 
Muda mfupi baada ya kutangazwa na Mahakama ya Rufaa ya Dar es salaam,nakumrudisha Godbless Lema,kuwa mbunge halali wa jimbo hilo.

Hivi sasa hali ya jiji la Arusha baadhi ya maeneo ni shamrashamra za magari na pikipiki zenye bendera za chama,ishara kuwa wanaimani kubwa na mbunge wao.

"MWANADAMU ANAWEZA KUICHELEWESHA HAKI YA MTU MWINGINE,ILA HUWA HAIPOTEI KABISA"

Utukumbuke kwa picha pia ndugu. Turushie hizo shamrashamra kwa njia ya picha
 
Kwa Watanzania tulivyokuwa watu wa matukio, hili la LEMA litapotezea hawa MASALIA. Labda waendelee na malumbano yasiyo na TIJA kwao wala kwa chama chao/Taifa.

Ntafurahi sana zile thread za masalia zikifungwa! Zinatutoa relini.
 
Eti power break fast...wale wabana pua nimewasikia pia asubuhi wanatoa povu kwenye .... kitundu(radio) chao,k..................Karibu....karibu.....mlezi wetu tawi la UDOM bado tuko imara...................Mahakama sasa zinazaliwa upya hongeeeeeeera majaji
 
Well done Kamanda Lema; Haki huwa haiombwi bali hupiganiwa. salaam kwa EL aliyesema uchaguzi ukirudiwa sasa hivi ccm itashinda. Pole sana magamba.
 
hongera mahakama kuu kwa kutoa haki ambayo ilikuwa inacheleweshwa. hivi tunazidi kuwa na imani na mahakama yetu hongera sana
 
Kwa furaha niliyonayo nawatangazia ofa ya vinywaji siku ya Xmass wote mnaonifahamu , tuonane Kilwa road pub kuanzia saa 6 mchana .
 
Hongera sana CHADEMA kwa ushindi huu mnono, ngoja tuwaumbue mafisadi na hila zao chafu kwa maendeleo ya nchi yetu, lulu yetu, zawadi tuliyopewa na Mungu wanakula wachache. Piga kazi jembe sasa maana moto wake akiwa sio mbunge ulikuwa mkali kama sumu, sasa ni mbunge inakuwaje? Namuonea huruma Tyson jimbo lake lilishambuliwa hadi raha. hahahahaha....................
 
kuna mpuuzi mmoja wa power breakfast asubuhi aliropoka sana,sasa yeye na kina mkuu wa gombe hawajui pa kuficha manyuso yao,pipooooooz

Power breakfast waropokaji kwel hata mi niliwasikia yaan lile liredio lina watu mambumbumbu kwel
 
Natakiwa kupiga saa 7, mtihani nahisi nimeshafeli coz mzuka wa ushindi cjui kama utazima dk hizi,MUNGU niongoze nikafanye vzr,peoles....
 
Back
Top Bottom