Hisa za crdb hasara hasara kubwa mno ! ! ! Tunaomba msaada ,,,hasara ! !hasara ! !

Mkuu Mashauri naomba unikumbushe hiyo shs 435 IPO ilikuwa lini angalau tuweze kutafuta growth rate yake na pia wametoa dividend mara ngapi kila baada ya muda gani na amount, compare to inflation(15%-22%) then niweze vilevile ni compare na other long term investment zilizopo na hasa tukichukulia cost of capital kwa sasa ni 28%-36% tafadhali wenye hizo data naomba msaada wenu...

UPDATE:
Mkuu mwaka huu TWIGA wametoa gawio la TShs. 143 kwa kila share.
 
Kweli mvumilivu hula mbivu,,,, mambo yamebadilika kabisaaaa , Hisa za CRDB sasa motomoto leo imefika shs 235 toka shs 110 ,,, kama vile siamini bado kidogo tu tuanze kuhesabu faida usije jidanganya kuwa tayari ni faida sababu ulinunua shs 150 @ ? ? ? kumbuka ni miaka ngp toka 2009 PANA INFLATION KUBWA SANA HAPO,, kwa wahasibu walivyo wajinga watasema pana CAPITAL GAIN KUBWA 235-150=85 eti hiyo kwao ni faida na wanaitoga hata kodi hiyo Wapuuzi sana, Inflation is about 16% in avg 16x4=64%,,,, shs 150+64%= shs 246 that is Present value ya hiyo hisa.... watanzania wengi wanalanguliwa kwa kutojuwa TIME VALUE OF MONEY, karibuni sana kwa ushauri
 
sasa mweshimiwa unashangiria jua alaf chn unajipinga mmh.alaf unasema wahasib wajinga.mh ok.
 
Duu, kumbe bora kua dalali soko la ndizi mabibo, au kama unavijisenti ukalime zako chips njombeeee kisha mjini unakuja kutalii tu!
 
Naomba msaada wenu nataka kununua hisa niende wapi?mahali ilipo wanapouza hisa.

Njoo hapa Sukari House, zamani Stanbic Bank, zamani sana ilikuwa benki ya yule greec wa Kizambia, utatukuta, uje nazo nyingi, hapa utauziwa kuanzia za TOL, Tatepa,UTT,nk nk. Karibu sana.
 
Wadau wa hisa za CRDB mwendo huu wa july hii munauonaje ? up to 295 then down to 270, 280 , . . . nani anaweza tabiri what is going to happen at the end of this month ? ? ?

KILA MOJAWETU AJARIBU KUTABIRI HAPA, ATAKEYE FAULU (10 x) HUYO NDIYE ATAKAYE KUWA CONSULTANT WETU HUKO MBELE
 
Free market baba,hakuna cha kuingilia serikali au mjomba wake Kimei labda kama kuna foul imechezwa lakini that's how markets works,markets is like a big casino na sometimes shares zinaweza kupanda au kushuka bila sababu ya maana zaidi ya watu kuamua kuchukua profit,nafikiri CRDB balance sheets,P&L etc s zao ni solid na sijasikia any trouble na still are making profit,dont panic just buy more maana price ziko chini ingawaje zinaweza kwenda chini zaidi maana wengi mmesha panic inaonekana
 
Nliskia kweny kikao cha mwsho cha wanahisa walikubaliana kuirudisha dividend kweny uwekezaji (i jus heard)
 
Msihofu sana maana CRDB inazidi kukua na sasa ipo Burundi pengine pesa za kulipa wana hisa wanatumia nyingi kwenye uwekezaji kwa ajili ya faida ya baadae sana.
 
Msihofu sana maana CRDB inazidi kukua na sasa ipo Burundi pengine pesa za kulipa wana hisa wanatumia nyingi kwenye uwekezaji kwa ajili ya faida ya baadae sana.

Unawaambia watu wasihofu kwa sababu ya "pengine"?

Wakilostishwa akiba za maisha yao yote utawambiaje?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom