vena
JF-Expert Member
- Apr 14, 2011
- 311
- 39
simu... simu ....yake hiyoPamoja na kupigia debe ziara yake alipokuwa hapa mama huyu, na kuwa ameamua kufuta umasikini, Bi Clinton aweka wazi kutokuridhika na hatua za kimaendeleo zilizofikiwa na Tanzania.Akitoa majumuisho juu ya ziara yake katika nchi kadhaa za Africa, Hillary alitumia muda mwingi kuisifia na kuipongeza Rwanda, kwa hatua kubwa za maendeleo zilizofikiwa, hatua ambazo zimeipeleka nchi hiyo kuelekea kujiondoa katika nchi masikini. Alizitaja nchi nyingine zilizopiga hatua kimaendeleo kuwa ni Zambia, Mali na Ghana. Hakuitaja kabisa Tanzania katika nchi zilizoonyesha juhudi za kupiga hatua kimaendeleoSource; ITV