Hili tatizo linanihusu mimi tu au kuna wenzangu?

Anselm

JF-Expert Member
Nov 16, 2010
1,710
291
Mimi natumia Modem ya Voda nilianza kutumia vifurushi vya Unlimited lkn baada ya kuona nabakisha chenchi nyingi nikahamia kwa kile kifurushi cha 5GB cha mwezi,sasa tatizo limeanza wiki iliyopita ngoma sasa hv inazingua ile kinoma,iko very slow na wakati mwingine inakwenda offline kabisa,jana imenitia hasira karibu niivunjevunje na nyundo mwenye maujanja ya kuninusuru kutoka kwenye tatizo hili tafadhali anisaidie otherwise nina mpango wa kuibeba niipeleke pale Mlimani City wakanirudishie chenchi yangu ya kwenye bundle(nimecheki salio jana nimesalaiwa na 3.9GB) kwani ushakuwa us***e,mtu nipo hapahapa Dar na'browse utafikiri niko Nanjilinji sijui Kipatimu,mambo gani haya Voda wananiletea?
 
lol!! kaka mi hilo tatizo ninalo tigo!!! nimelia nao wee facebook lakin wapi!! its the same problem as urs.
 
jana mtandao wa voda ulikuwa unamushkeli hata mimi nilikuwa napata shida kupata mtandao!
 
Kwa mimi siyo jana tu ni almost wiki ya 2 sasa,for sure wana'bore sana
 
Ningeona mkutane wote mlioko dar na muwaibukie hapo customer care.Because ukienda mwenyewe hawakawii kukuambia hilo tatizo ni lako peke yako.
 
ANGALIA zile network signal bar. zipo ngapi? zote tano? kama unapata vichoro kimoja au viwili hilo ni tatizo la eneo lako kwa kipindi hiki. lakini kama unapata full mnara itakuwa wanakudharau wewe tu. wanakuletea mambo ya ajabu kama ulivyodai. huku upande wetu full mziki
 
Same prob here, na me nilianza na Unlimited ila zilipokatika 3Gigs speed ikadrop all the way 2 abt 20KBps and 40KBps when i'm lucky(which z pretty shitty). Hizi za vifurushi back when i was in Mwanza ilikua fast ila after i returned 2 Dar imekua ni useless, most of d times najiunga na ya usiku ile cause kidogo ina uhafadhali. This ain't fair. Totally
 
Fine here.. labda mida ya night kuanzia saa 7 mpaka saa 10, huwa wanafanya marekebisho kama siku ya 5 hivi but muda mwingine inakimbiza mbaya, au labda eneo uliopo
 
Wewe...wasubiri nini...ebu jaribu Zantel uone.... Mie nilikuwa natumia airtel nao wakaleta uzusi nihakamia Zantel lakini kusema kweli nikiweka Mono napeta mwezi mzima huwezi amini...
 
Back
Top Bottom