First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,310
- 1,473
Hellow MMU members, nawasalimu kila mtu kwa imani yake!
Ni mara chache mno watu huwa wanakuwa wazi esp ktk maswala yao ya kweli kwenye maisha! Nikezungumzia suala la mapenzi mm kwa namna moja au nyingine nimejikuta nikipata tatizo la kupenda sana, sanasana napokuwa na demu ambaye nimemiaaproach na kwa bahati akaingia line, lkn tatizo lina kuja pale ambapo najikuta kumdharau na kumwona wa kawaida sana akishanipa game na kuanza kutafuta mwingine. Nabakia kumtafutia makosa hadi nihahakikishe tumeachana.
Sasa wewe kama mtaalamu wa mambo haya unafikiri hii inanitokea kwa kwa sababu gani?
Nifanyeje ili niepukane na hali hii?
NB;1. Najua wako wengi wenye hali kama hii, toa ushauri wako kwa manufaa ya wote.
2. Nishauri kistaarabu maana kuna watu wanakuwa na tabia za ajabu mno
3. Ushauri wako huenda ukabadilisha mwenendo wangu
Thanx, stay blessed
Yours FB