Hili sasa ni tatizo kwangu, nishauri!

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
Hellow MMU members, nawasalimu kila mtu kwa imani yake!

Ni mara chache mno watu huwa wanakuwa wazi esp ktk maswala yao ya kweli kwenye maisha! Nikezungumzia suala la mapenzi mm kwa namna moja au nyingine nimejikuta nikipata tatizo la kupenda sana, sanasana napokuwa na demu ambaye nimemiaaproach na kwa bahati akaingia line, lkn tatizo lina kuja pale ambapo najikuta kumdharau na kumwona wa kawaida sana akishanipa game na kuanza kutafuta mwingine. Nabakia kumtafutia makosa hadi nihahakikishe tumeachana.

Sasa wewe kama mtaalamu wa mambo haya unafikiri hii inanitokea kwa kwa sababu gani?

Nifanyeje ili niepukane na hali hii?

NB;1. Najua wako wengi wenye hali kama hii, toa ushauri wako kwa manufaa ya wote.
2. Nishauri kistaarabu maana kuna watu wanakuwa na tabia za ajabu mno
3. Ushauri wako huenda ukabadilisha mwenendo wangu

Thanx, stay blessed
Yours FB
 
Mkuu sio kupenda sana bali unatamani sana. Wewe unatamani kufanya ngono
 
Hauna stable relationship,and that will cost you later.

Makosa unayowatafutia ni yepi hayo.Thats not gud at all.Mwishoni tabia yako itajulikana,kila msichana atakukimbia.

Ni wewe mwenyewe kubadilika,na kuwa na msimamo wa kuwa na msichana mmoja.

Playing with someone fillings is very dangerous.

Maombi ni muhimu sana,hilo ni pepo la ngono linakusumbua.

Jaribu kubadilika,ukiacha,acha kama ni kijana mkubwa na umri umeenda,utampata lini mkeo?unadhan ukifikia kipindi cha kuoa na kuwafuata wale wa zaman uliowadharau watakukubali?.

Watakudharau pia.Badilika.
 
thanx, lkn mbona hata maelezo yako yanaonesha na wewe umo? Unaposema siku nikioa wale wa zamani watanikimbia una maanisha nini?
 
Mkuu sio kupenda sana bali unatamani sana. Wewe unatamani kufanya ngono

ndio nakubali, kwani we unafikiri sababu za mimi humuapprach ni nini? Sasa kwa nini hiyo ngon ninayotamani nikipata nahama badala ya kitulia nae?
 
Mi nakushauri uache masuala ya mahusiano kwa sasa...

Mawili,ukiendelea,utaumiza kina dada wengi...

Na jingine unajiharibu zaidi kisaikolojia hasa juu ya mahusiano yako na kina dada na mapenzi kiujumla...

Tulia tu,utakuja kupata feelings za mapenzi ya kweli...
 
thanx, lkn mbona hata maelezo yako yanaonesha na wewe umo? Unaposema siku nikioa wale wa zamani watanikimbia una maanisha nini?

Nimo wapi mkuu,i have a stable relationship.Means i have one girl,i respect her,ata kama tumefanya hayo mambo.

Hizo ni tamaa tu,itafika muda utataka wa kuoa,utataka background ya mtu,and it will take a time kuwajua,Gudluk u met mtu uliyemdharau hapo mwanzo,na katika harakat u want to marry.Will she say yes??Mtu uliyemdharau mwanzoni?.Never..I have a fnd of mine,he has da same behavior like yours.

It takes him time to change,being in a new life,so,CHANGE NOW.
 
Mi nakushauri uache masuala ya mahusiano kwa sasa...

Mawili,ukiendelea,utaumiza kina dada wengi...

Na jingine unajiharibu zaidi kisaikolojia hasa juu ya mahusiano yako na kina dada na mapenzi kiujumla...

Tulia tu,utakuja kupata feelings za mapenzi ya kweli...

nitawezaje kukaa bila mahusiano ktk dunia kama hii ambayo mapenzi ndo yamerun kihaswa? Huoni kama nakuwa nalazimisha life style filani ya mtu?
 
Nimo wapi mkuu,i have a stable relationship.Means i have one girl,i respect her,ata kama tumefanya hayo mambo.

Hizo ni tamaa tu,itafika muda utataka wa kuoa,utataka background ya mtu,and it will take a time kuwajua,Gudluk u met mtu uliyemdharau hapo mwanzo,na katika harakat u want to marry.Will she say yes??Mtu uliyemdharau mwanzoni?.Never..I have a fnd of mine,he has da same behavior like yours.

It takes him time to change,being in a new life,so,CHANGE NOW.

well nimekusoma mkuu
 
Kuna watu wa aina hiyo
Akiwa point A anataka kuwa point B
Anadhani huko B ndo atapata amani
Akiensa B anagundua hakuna amani aliyoitaka, anaanza kutaka C.
Sijui kwa kitaalamu wanaitaje, lakini ni hali ya kutoweza tulia sehemu moja inayoletwa na wasi wasi

Nadhani hata nyanja ya mahusiano inakuwa hivyo
Ni wewe kujiaminisha kuwa unaweza tulia na mtu mmoja
Usianza tafuta mabaya badala yake chukulia na mazuri yake.
 
nitawezaje kukaa bila mahusiano ktk dunia kama hii ambayo mapenzi ndo yamerun kihaswa? Huoni kama nakuwa nalazimisha life style filani ya mtu?

Tulia na huyohuyo mmoja,na tabia ya kuacha wasichana iache.

Au amua moja,uoe,utulie.kama ni ngumu sana kuishi mwenyewe.
 
Mie nafikiri kwamba unaonyesha haujui na haujajitambua unataka nini,weka vigezo unavyotaka kwa demu then anza kutafuta ukimpata kaa nae,kama ukiendelea tena kumuona ana kasoro basi ujue umerogwa na demu wako wa kwanza kwamba usikae na demu mwingine,mrudie yule wa kwanza uliemuacha!
 
Ndoa ndo tatizo nimezoea kula raha sasa kuja kuoa ni kama kujifunga
 
hujapenda bali unakua umetamani.

sasa badala ya kutongoza mwanamke anayekuvutia sana au unayemtamani saaaana
hebu tafakari kabla hujatongoza,
tafakari una lengo gani la muda mrefu na mdada unayetaka kumtokea
jaribu kupiga picha kama atakukubali unaona nini mbele yenu
je hisia zako zitakua the sama kwa miaka kumi ijayo?

halafu majibu yafanyie kazi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom