Hili ni tusi jipya, very brand new

Ndo dawa ya dharau.......................
Na jeuri mwenzie kusudi! Manina zake alizani kila siku ni jumatatu! Na kikubwa zaidi kapata cheo kipyaa (Kigodoro) Sipendi watu wenye dharau kama huyu dereva. Na kijiweni hakukaliki!! Yote sababu ya dharau zake!
 
Kuna sehemu umenichekesha lakini sitaki kupabold.......... KARIA una vituko wewe
 
Last edited by a moderator:
jamaa jiji zima taarifa zake zitasambaa kuwa anamegwa, ubaya wavuma zaidi ya wema
 
Na jeuri mwenzie kusudi! Manina zake alizani kila siku ni jumatatu! Na kikubwa zaidi kapata cheo kipyaa (Kigodoro) Sipendi watu wenye dharau kama huyu dereva. Na kijiweni hakukaliki!! Yote sababu ya dharau zake!

KARIA sijaelewa neno 'manina zake', naomba ufafanuzi ndugu!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Hahjahhhaaaaaa...............Hapo shughuli inaanza akirudi kijiweni kutega tena..hahaha.,........!
Jamaaa wenzake wataanza kumkimbia na kumtenga....na hata jua kwa nini...hahahahahaaaa....!
 
Jamaa alikuwa anaumwa akapita kituo cha taxi akaikuta taxi moja, akamuomba sana taxi dreva ampeleke hospitaji lakini fedha yake ilikuwa ndogo, kitu cha ajabu dreva alimporomoshea jamaa matusi ya nguoni na kumwambia akapande bodaboda kama hana hela.

Wiki mbili baadae jamaa akawa amepona na anapesa mkononi, akaenda kituo cha taxi akakuta taxi nne ikiwemo ya yule dreva aliyewahi kumtukana, akamwendea dereva wa kwanza;

JAMAA: Natafuta dereva wa taxi shoga niondoke nae ntamlipa laki

DEREVA 1: We mwenda wazimu nini hebu toka hapa.. Jamaa akenda taxi ya pili

JAMAA: Natafuta dereva shoga niondoke nae ntamlipa laki

DEREVA 2: Pumbavu mkubwa toka hapa

Hatimae jamaa akaenda kwa yule taxi dreva aliyewahi kumtukana

JAMAA: Aise sijui unaweza kunipeleka Ubungo?

DEREVA: Ndio shilingi alfu kumi

JAMAA: Haya twende....wakati wanaondoka jamaa akahakikisha anapungia mkono wale madereva waliobaki kituoni huku akionyesha alama ya kidole gumba. Akiwaacha midomo wazi

Dah, jf is never boring! Na usiku wote huu wa manane nimecheka kweli hadi my wife wangu kashtuka toka usingizini na kuanza kunishangaa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom