Hili Ni Jeshi Letu? Mikocheni Henken Leo Mchana

Angalia nembo ya TPDF mlangoni

Niliye piga picha nimeona Quick Respond force na gari si la hadhi ya jeshi....Kama kulikuwa na mlipuko mbona tuliruhisiwa kupita kwenda maeneo ya mbele?


Au walikuwa wanasubili tulipukiwe ndio wajue mlipuko ulikuwa wapi? Walikuwa wame settle kama KK Security
 
Back
Top Bottom