Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Oct 18, 2012 #1 Nalikuta maana nyingi limetumiwa katika sentensi kama hii hapa chini..... chambilecho wasemaji wa kiswahili.."hata mbuyu ulianza kama mchicha"
Nalikuta maana nyingi limetumiwa katika sentensi kama hii hapa chini..... chambilecho wasemaji wa kiswahili.."hata mbuyu ulianza kama mchicha"
A-town JF-Expert Member Oct 25, 2011 494 169 Oct 18, 2012 #2 Hapo imetumika .........kama wasemavyo.........
awp JF-Expert Member Jun 6, 2012 1,711 599 Oct 18, 2012 #3 hili ni neno la kiyao, lina maana ya "nisemavyo au wasemavyo"
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Oct 18, 2012 Thread starter #4 awp said: hili ni neno la kiyao, lina maana ya "nisemavyo au wasemavyo" Click to expand... Asante..
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,577 2,073 Oct 18, 2012 #5 Ahsante Mkuu Katavi kwa swali zuri. Hata mimi hili neno huwa nalitumia, lakini undani wake nilikuwa siujui. Leo nimeelimika. VIVA JF. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ahsante Mkuu Katavi kwa swali zuri. Hata mimi hili neno huwa nalitumia, lakini undani wake nilikuwa siujui. Leo nimeelimika. VIVA JF.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,703 Oct 19, 2012 Thread starter #6 Globu said: Ahsante Mkuu Katavi kwa swali zuri. Hata mimi hili neno huwa nalitumia, lakini undani wake nilikuwa siujui. Leo nimeelimika. VIVA JF. Click to expand... JF ni kila kitu kaka Globu. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Globu said: Ahsante Mkuu Katavi kwa swali zuri. Hata mimi hili neno huwa nalitumia, lakini undani wake nilikuwa siujui. Leo nimeelimika. VIVA JF. Click to expand... JF ni kila kitu kaka Globu.
Judgement JF-Expert Member Nov 13, 2011 10,327 4,780 Oct 19, 2012 #7 Chambelecho si chambilecho! Chambelecho means Mathalan (such as ) au kama ambavyo!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,153 13,223 Oct 20, 2012 #8 Mh .............haya wakuu asanteni
UmkhontoweSizwe Platinum Member Dec 19, 2008 8,556 7,762 Oct 20, 2012 #9 ​"Chambilecho" achaumbile Nnungu kumememena somo, bhaaa!