Hili neno "CHAMBILECHO" lina maana gani??

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Nalikuta maana nyingi limetumiwa katika sentensi kama hii hapa chini.....

chambilecho wasemaji wa kiswahili.."hata mbuyu ulianza kama mchicha"
 
Ahsante Mkuu Katavi kwa swali zuri. Hata mimi hili neno huwa nalitumia, lakini undani wake nilikuwa siujui. Leo nimeelimika. VIVA JF.
 
Last edited by a moderator:
Chambelecho si chambilecho!
Chambelecho means Mathalan (such as ) au
kama ambavyo!
 
Back
Top Bottom