Hili nalo NENO

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Feb 18, 2010
4,066
4,085
Nahumu 1:9
Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili
 
Asante Kiranja mkuu tunakaa na yetu mioyoni mwetu siku zote za maisha yetu

Neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu (Wakolosai 3:16).

Kwa nini basi neno la Kristo likae kwa wingi ndani yetu? Ni kwa sababu lina mambo yafuatayo ambayo ni muhimu katika maisha yetu ya Ukristo.
Mambo hayo ni…
A) Neno la Mungu li Hai
B) Neno la Mungu lina nguvu (Mwanzo 1:6).
C) Neno la Mungu lina ukali kuliko upanga
D) Neno la Mungu linachoma hata kuzigawanya nafsi, roho viungo na mafuta yaliyomo ndani yake
E) Neno la Mungu li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo

Kumbe wewe ni MPENDWA?! Sikujua kama wapendwa wanaruhusiwa kuangalia mambo ya kikubwa!
 
You guys just stick on the topic.for God sake.Nimeipenda hiyo comment from Nahumu.God bless you.
 
Maovu yaliyofanyika kipindi kilichopita ya akina zombe, Richmond, EPA, Kiura, project feki za serikali, na maovu mengine mengi ya akina Ditopile kuua mtu kama kushuti digidigi! kweli tutayasahau?
MUNGU TUPE AMANI, make yanasumbua kichwa changu.
 
Nilidhani kuwa wapendwa katika neno hawaruhusiwi kutafuta tamaa za kidunia. Kumbe siku hizi vinachanganyika!

Weweeeeeeeeeeeeeeeeeeee. Kwani mambo ya kikubwa ni tamaa za kidunia. Firstlady na wapendwa wengine wako selective ktk thread za mambo za kikubwa.
 
Thank you Jesus, kumbe tunamkumbuka Mungu wakati huu wa uchaguzi pia, thank you and stay blessed
 
Nahumu 1:9
Mnawaza nini juu ya Bwana? Yeye atakomesha kabisa; mateso hayatainuka mara ya pili

.
Jinsi mkono wake wa kuokoa na kukomboa ulivyo mkuu. Kama alimhukumu farao kwa kumtenga na wana Israel alipoyaseta majeshi ya wamisri katika bahari ya Shamu, vivyo hivyo anaweza kututenga na umaskini mkuu tuliosababishiwa na serikali ya ccm. Ccm imeachwa kutawala mda mrefu ili kwamba itakapoondoshwa kirahisi watu watambue kwamba Muumba ana mamlaka juu mbinguni na duniani. ONYO kwa watz: kuna aya moja inayosema 'msipo sadiki hamtathibitika' hivyo basi tuonyeshe kusadiki kwetu kwa ushiriki wa kura yetu ya kumwangusha Farao ccm na jeshi lake la Mafisadi.
 
Back
Top Bottom