Hili limekaaje kwa dada zetu wapendwa

Huyo dada ana jambo,Kama nampenda hata akipiga kila baada ya dakika tano ntapokea,huwezi kuona anayekupenda anakuganda sana sana utafurahia na kujitoa zaidi kwake.

inawezekana ana lake jambo,lakn hapendi kulisema eti!
 
Back
Top Bottom