Sizinga
Platinum Member
- Oct 30, 2007
- 9,101
- 6,027
Kulikuwa na Bandiko hapa la kazi mgodini Songea,sasa kwa baadhi ya watu walioomba wameambiwa shortlist inaandaliwa na vigezo vya kuingia kwenye shortlist inahitajika utume Tsh Laki 6 (600,000), lakini kwa kuanzia inabidi uwatumie laki 2(200,000) halafu ukishaenda kwa inteview then inabidi uwalipe inayobaki ie laki 4(400,000).
JE kama kuna mwenye details zaidi atujuze hii kitu ipo sawa au wanaweza kuingia mkenge hawa watakaoanza kutuma hizo laki 2? Na hizi nafasi ( nyingi za Operators) zilitoka kwenye gazeti au ni kwenye internet pekee?? Manake mambo ya mtandao hapa usije ukaingia UPOPO.
Nawakilisha.