Hili la serikali ya umoja wa kitaifa limekaaje?

Byendangwero

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
871
56
Jana Maalim Seif alihutubia mkutano wa hadhara huko Zeinj na kuwashukuru wananchi wa huko kwa kile alichoita kuwezesha kuundwa kwa " serikali ya umoja wa kitaifa." Swali hapa, ni taifa gani hilo? Kwani mbali na watanzania, kuna taifa lingine nchini hapa? Kama hakuna, hivi hiyo serikali iliyoundwa huko Zenj, inayo hadhi ya kitaifa? Nakaribisha michango ya mawazo kwa mtu yeyote mwenye uelewa na suala hilo. Naomba niwakilishe.
 
Back
Top Bottom