Ms. Thandiswa
Member
- Apr 10, 2012
- 86
- 9
Ina maana sana Mungu ana huruma sana na wanavyomuombea anapokea sala zao tena watu wamejikusanya wa dini tofauti,wenye chuki walie tu coz watu na bahati zao! Ombeni nanyi iwe hivyo
Ina maana sana Mungu ana huruma sana na wanavyomuombea anapokea sala zao tena watu wamejikusanya wa dini tofauti,wenye chuki walie tu coz watu na bahati zao! Ombeni nanyi iwe hivyo
me naona poa tu,ndiyo au hapana yte majibu
vipofu wawili wakiongozana upotea au kutumbukia katika shimo.baada ya kufa ni hukumu.MUNGU alimpa miaka 28 ya kutengeneza njia zake ndugu kama akuwez never ever usitegemee kwa maomb yako unaweza badilish hukumu ya MUNGU juu ya kanumba now anavuna alichopanda.
...ya Ngoswe mwachieni Ngoswe ndugu zangu....
Raia wengine mizigo kweli kweli!
Kwani kuna shida gani akifanyiwa hivyo?
nijuavyo mimi Mungu huchukia sana ibada za wafu!
si kosa kumuombea mtu kwa mungu,ata wewe tutakuombea ata kama una lala kilabuni! na wewe ndio kipofu isiye jua mungu si athumani mpaka hasisamee! pengine mimi nawewe atu stahili kujadili maovu ya wengine maana inawezekana ni wachafu kuliko marehemu.atunabudi kumuomba mungu kila saa atusamehe dhambi zetu.
Ujinga mwingine huu hapa!!......... freemasonry?
Kuna wakati kuwalaumu watawala wetu kutokana na umaskini tulio nao ni kutowatendea haki, Taifa lililojaa wajinga kama hawa wafia Kanumba basi ni vigumu sana jamii ya namna hii kuwa na maisha bora.bora mzigo mkuu...hawa wamezidisha
Hapa Soweto mambo ni kama
ilivyoratibiwa wandugu!
Mi ningependa sana kujua huyu marehemu Kanumba alikuwa na nini!
Vice chairman kumbe huwa anaitwa Assistant chairman!!......assistant chair person wa freemasons tz..