Hili Kombe la Ligi Kuu 2022 ni kama Blender ya kusagia juisi

Boss la DP World

JF-Expert Member
Dec 12, 2021
1,994
7,554
Kwanza nawashukuru kwa dhati NBC kwa kudhamini ligi yetu, kwakweli mwakahuu vilabu hata vile vidogo havikuwa na ukata wakutisha kama tulivyo zoea kipindi cha nyuma vilabu vilikosa mpaka nauli.

Pamoja na hayo, kwakweli waliopewa kandarasi ya kutengeneza kombe la mwaka huu kwakweli sijui wana ugomvi na NBC au wana ugomvi na timu inayokaribia kuchukua ubingwa maana hiki walicho tengeneza ni kama blander ya kusagia juice tena ile ya heavy dute. Kama inawezekana libadilisheni jamani, hata kama walikosa kwa misimu 4 mfululizo lakini sio hivi kheee.

FB_IMG_1654776063652.jpg

images (8).jpeg

Wangeiga hata hili jamani khaaah.
FB_IMG_1654776228640.jpg
 
Back
Top Bottom