Hili gari komesha

Shine

JF-Expert Member
Feb 5, 2011
11,481
1,364
524287_505506672810628_231506294_n.jpg

Hata kama ni kuoverload si kawaida
 
Si haba askari wa usalama barabarani keshapata mlo wake hapo ndiyo maana anaiangalia kana kwamba ni mapambo hayo yaliyobebwa. Hiyo ndiyo Tanzania iliyobakia baada ya mafisadi kula kitu.
 
Mkuu angalia vizuri huyu si askali wa bongo
 
Back
Top Bottom