Hiki ni kitu gani "Wusa32.exe" ?

Elai

Senior Member
May 26, 2011
154
9
Nimejaribu ku-google lakini bado nipo njiapanda. Kwani kila kompyuta inapo-boot, antivirus inanipa options za kufungua "wusa32.exe", in sandbox,normally au cancel opening.
 
inaweza ikawa ni program fulani inajaribu kurani wakati pc yako inapoboot. Hebu jaribu kucheki startup program in this way. Open run then type MSCONFIG halafu piga ok. Ikishafunguka hiyo window cheki kwenye services and startup program kama kuna app kama hiyo. Kama ipo ondoa hiyo tik then apply. Usipoona hapo angalia kwenye all programs you will find a folder named startup, open it na ucheki kama kuna hako ka app. Kama kapo ka delete
 
Ahsante, nitajaribu
 
Back
Top Bottom