Hiki Nacho Kitendawili! Nikitegueje?

Ah mkuu uliposema upo kanda ya kaskazini, afu nilipoona hyo mijihela imekutoka nikajua tayari kijana wangu kakamatika....
Hiyo tuisahau, historia haikupi favour, hao watu hawana huo utamaduni wa kurejesha pesa!
Tutafakari option B.... Kaka mke wa Mtu noma bwana, mbona pande hyo kuna watoto wakali sana!
 
Hata huyo mdada nae! mungu amemjaalia! Sema ndio hivyoo anilipe kwanza mambo mengine nitamsaidia badae.
 
Jamani, kwani laki 3.5 ni nyingi sana kununua ngono? Kwani huwa mnanunua sh ngapi?Kumbe ndo maana mie sipati mnunuzi. Kha!
 
Unataka ku-bid? Inabidi ulete bank statement za miezi 3 manake running costs ni kubwa kuliko bei ya kununulia

poa, ila hebu cheki na mchina, running costs zinaweza kushuka, kisha ushushe bei..
 
Sijihusushi kibiashara na mchina. Kama unahitaji chinese products baba, tangaza kulee utapata. Bandika hiyo bank statement nianze kuku-evaluate

shida ya nini, ngoja nimtafute Chifu Figa mzee wa mia anipeleke uwanja wa fisi, manake kule ukiwa na buku unakula na unasaza.. Tciao
 
cheza mbali Michael, wenye majogo wasiowika huwa na hasira asikwambie mtu, sema una mke! Pili ukiona anaujanja katika pesa anza kukopa dukani kwake, na hadi miezi miwili ipite ngoma draw!
 
N:B Niliulizia washkaji wakadai kweli jamaa hamna kitu, ila mama anajiheshimu, Wakashangaa mie kupata zali eti labda ugeni wangu umesaidia? Mdada nae mkalii kitu ya Karatu.

karatu kumbe kuna wakali sikujua......
 
yani ukimvua nguo pesa imekwenda, keshakwambia kama jogoo wa mumewe hapandi mtungi msaidie kwakumwambia aende hospital...
 
Kuna siku akapatwa na shida akaniomba nimsaidie kama 350,000 atanirudishia bahada ya miezi miwili, sio mbaya nikampa.
Bado miezi miwili haijakamilika sasa, akanipa stori iliyoniacha mdomo wazi! kuwa mumewe ana matatizo,yaliyosababisha jogoo wake ashindwe kuwika.

Nilisikitika sana kisha nikampa pole! Akanambia pole haitoshi naomba msaada wako!
Nikamuuliza msaada gani anaohuitaji! Akanambia kuwa mimi ni mtu mzima nadhani nishamuelewa anachoniomba!

kaa mbali na wake za watu......ukitaka kuishi maisha ya raha na mustarehe.......unasikitika nini kuhusu ugumba wa nyumba ya wengineo wakati wewe hayo hayakuhusu...................hizo hela yaelekea ulihonga.......na ndiyo maana bibie amekutonya.......hiyo ni greenlight lakini yatakukuta...............na sidhani kama hizo taarifa ni wewe tu umetonywa.........
 
Ah mkuu uliposema upo kanda ya kaskazini, afu nilipoona hyo mijihela imekutoka nikajua tayari kijana wangu kakamatika....
Hiyo tuisahau, historia haikupi favour, hao watu hawana huo utamaduni wa kurejesha pesa!
Tutafakari option B.... Kaka mke wa Mtu noma bwana, mbona pande hyo kuna watoto wakali sana!
Kaka hawana utamaduni wa kurejesha? unanipa wasiwasi maana na mimi niliazimwa laki tatu na mtu wa kanda ya huko tangu mwezi november mwaka jana, nimesharudishiwa laki moja tu mpaka sasa, ila amerudi tena juzi nimuongezee milioni!
 
Hakuna hasara yoyote, ila makubaliano hayakua ya kuuziana penzi. Ilikua apewe laki tatu na nusu alafu arudishe. Kama anataka kubadili makubaliano basi aweke mambo wazi alafu Mike afikirie tena upya. Sio kumtega...

una uhakika gani kama anamtega, we are too judgemental kwama anamtega, what if atamrudishia pesa yake, Michael mwenyewe anasema siku bado hazijesha, na pia hana hiyana kufanya ya 'kumsaidia' dada mwenye duka isipokuwa anaogopea fedha zake.

Ndugu Michael ni mwoga, tena ni mwanaume mwenye kuendekeza umbea, na zaidi ya yote ni mbahili na anapenda vya bure.

Kwanza utamkopeshaje mke wa mtu pesa bila mumewe kujua? kiasi cha mwenye mke kutambua kuwa Michael alimkopesha bint pesa ni vurumai tosha achia mbali ku do nae.

Pili ndugu Michael ameshasema dada mwenye duka ni kifaa kinachoita, ina maana ameshamwanagalia kwa jicho la tatu na la nne na mimacho imeshaanza kumtoka kabla hata hayakopwa. Alijilengesha dada akamshtukia na akachukua hatua moja mbele ya kutafuta ukaribu kwa njia ya deni. Mteja akaingia line, dada akaona yes,, mambo iko huku akajilipua kwa kumwaga shida yake.

Hebu fikiria, ameshawaambia washkaji kuhusu huyu demu, halafu akauleta uzi huu duniani ili tumpe hongera kwa kukopesha mke wa mtu au kutamaniwa na mke wa mtu? Huu ni umbea kama si nataka sitaki.

Michael aseme anamtaka dada au hamtaki, hizo longo longo nyingine ni za kitoto.
 
duh! hata sina cha kujibu hapo maana umetoa info zingine za ndani kuliko hata Mickey mwenyewe! na umeconclude tayari.
NIlipo sema dada anamtega ilikua kwa kumletea business zingine kabla hawajamaliza ile ya pesa, sikusema kua hamlipi, mi siwajui vizuri kama unavo wajua wewe.
 
Back
Top Bottom