Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Namuangalia president wangu anavyochambua mambo, kweli kikwete hakustahili hata ubalozi wa nyumba kumi. Yaani anafunikwa 1000 times na rais wetu waliomchakachua.
 
wadau Raisi wa watanzania anayetawala bila dola bali kwa nguvu ya umma yupo live channel ten anazungumza hoja zenye mashiko na ushahidi wa kutosha, get connected
 
kazi kweli kweli nipo katikati ya giza nashindwa kumcheki presidaa sababu ya magamba machache, angalau nipo na kasimu kangu ka mchina kananiliwaza na jf nako katazimika chaji sasa hivi, endeleeni ku2juza mlio na umeme.
 
hivi kikwete atakuwa anamwangalia maana roho yake itakuwa inamsuta kwa kukwaputa uraisi wa watu..

(Garasa) Mtalii yupo Kwa kaburu anakula kuku, eti ameenda kuzika wakati watanzania wanauliwa kila siku na Kikundi cha Mwema
 
anaelezeya watu vijijini waliyvo namwamko kwani wao wanauchungu zaidi wao chai nindoto tofauti na mijini
 
Huyu jamaa ni mwalimu mzuri sana. Anaeleza masuala ya uchumi kwa lugha ambayo hata asiye enda shule anaweza elewa. Anaeleza upuuzi wa kukopa ili unywee chai na baadae kukojoa badala ya kukopa na kuwekeza katika mambo ambayo yatadumu na hata vizazi vijavyo vitaona na kuridhia kulipa deni hilo.
 
jamaa anampasha kamuuliza swali nivtu gani anavikubali katika bajeti aache kupinga pinga kila kitu hongera jamaa wa newala
 
Kuna mjumbe mmoja anamponda Dr. Slaa aache siasa za hisia, sijui siasa za hisia ndiyo zipi huyo ni mmojz wa wananchi toka Mtwara. Kubali reality, tuachie Tanzania yenye amani.
Jibu la Dr. Slaa.
Anashukuru naye Juma (mpiga simu) kuwa naye amesema kwa hisia.
 
Analalamika bila point, duuuuh sijui unaangalia channel gani? Acha ubabaishaji kuwa mzalendo utakusaidia, mtu akifanya zuri msifu akikosea muonye. Kama huoni point za Dr. Slaa basi utakuwa shule ulipita haijakusaidia.

Point anaziona sana, ila ndo hvyo tena keshachukua buku mbili za Nape. Si unajua hapa yupo kazini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom