Hiki kichwa kinatisha Mungu mzidishie

Status
Not open for further replies.
Itabidi tumpeleke India Doctor wetu wakamtibie mkono wa kushoto naona bado hauko 100% active
 
kipindi cha mkapa tulilipa madeni mpaka tukabaki na deni la trioni 5, anasema tatizo liliopo ni kukopa kwa matumizi ya kila siku kama chai badala ya kukopa ili ujenge reli nk
 
Rais wetu yupo Live Chanell 10 haya tujuzeni nyie nlio katika tv sisi wengine hatuna umeme maharamia yametuubia mwanga na kuleta giza
 
kuna bilioni zaidi ya bilioni 290 hazijulikani zilitumikaje kwa mujibu wa cag..
 
Jamaa anatufaa kabisa. Kwa point hz anafaa kabisa kuwa raisi wa jmt. Anachambua kuliko yule prof wa uchumi jamaa anejiita mlima kilmanjaro.
 
hivi kikwete atakuwa anamwangalia maana roho yake itakuwa inamsuta kwa kukwaputa uraisi wa watu..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom