Hija ya sasa ni kama fasheni tu

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
3,611
8,746
Miaka ya nyuma kuanzia 90 mtu ukisikia kaenda hija mpaka mtaa mzima mnamuogopa sababu kufika huko ilikuwa heshima kubwa sana na wengine ufanyiwa duwa na sheree ndogo nyumbani sio kila mtu kufika huko.

Mtu aliyetoka hija ni kama kaenda kujiakikishia mwenye kuacha kabisa na kuwa kamili ndio maana mtaani wazee waliokwenda mpaka leo ndio wazee tunao waheshimu na watu ambao usikilizwa sana.

Sasa kumekuwa na kila mtu mwenye kusumbuliwa na pesa naye kwenda hija ili mradi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.

Cha kushangaza wakija mtaani ni yale yale tu wanayoendelea nayo ukilinganisha na kipindi cha nyuma ilivokuwa inaheshimika.

Hija ya miaka ya sasa ibadilishwe vipengere tu maana inakosesha watu wanaotaka kwenda hija kweli.
 
Hija ni ibaada ya mtu binafsi ni nguzo ya tano ya uislamu, siku hizi mambo ya mebadilika kuenda ku hiji ni rahisi ndege zipo lakini zamani usafiri ulikua ishi kwa mfano miaka ya 80 baba angu alienda na meri ku hiji kwa wiki tatu safarini.
Mkuu usipagie wstu wenye dini yao nani afanye inaada na nani asiende usihukumu mtu yoyote kwa kumuona juju.
 
Unajua urahisi ukiwepo zaidi ndio kuzarau kunaongezeka.
 
Miaka ya nyuma kuanzia 90 mtu ukisikia kaenda hija mpaka mtaa mzima mnamuogopa sababu kufika huko ilikuwa heshima kubwa sana na wengine ufanyiwa duwa na sheree ndogo nyumbani sio kila mtu kufika huko.
Mtu aliyetoka hija ni kama kaenda kujiakikishia mwenye kuacha kabisa na kuwa kamili ndio maana mtaani wazee waliokwenda mpaka leo ndio wazee tunao waheshimu na watu ambao usikilizwa sana.
Sasa kumekuwa na kila mtu mwenye kusumbuliwa na pesa naye kwenda hija ili mradi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Cha kushangaza wakija mtaani ni yale yale tu wanayoendelea nayo ukilinganisha na kipindi cha nyuma ilivokuwa inaheshimika.

Hija ya miaka ya sasa ibadilishwe vipengere tu maana inakosesha watu wanaotaka kwenda hija kweli.
......we Jamaa bana...eti wanaosumbuliwa na pesa!!...
 
Sijui kuzarau una manisha nini? Dini ya uislamu inakua kila siku watu wanao enda kuhijji wanazidi kuongezeka kila ukicha kwetu ni fahari kubwa.
Tatizo hadi wakina Hakika unaweza kuona wanaenda huko....

Msanii yule mwenye kusema kuwa jinsia ya 3 naye yumo!

Wanaotishia watu bastola na kuwaminya via vya uzazi, wamo.

Mafisadi kadhaa ni ma-alhaji sasa!

Inatia ukakasi kwa hizi imani kwa sasa, inaweza kuwa haikuwa na maana ya kuwa nguzo ya KIIMANI ila ugumu wa kufika huko, sasa kila mtu anao uwezo wa kufika ilimradi tu awe na pesa, haijalishi kaipataje, naye yupo mahali panapodhaniwa kuwa PASAFI zaidi kiimani! Imekuwa kama sehemu ya kitalii zaidi kwa watu wenye majina ya KIISLAMU badala ya sehemu ya IMANI.

Vipi kuhusu wenyeji wa kule, wanaoweza kufika tu kirahisi na kuona hiyo ni sehemu ya utalii zaidi ya kiimani?
 
Miaka ya nyuma kuanzia 90 mtu ukisikia kaenda hija mpaka mtaa mzima mnamuogopa sababu kufika huko ilikuwa heshima kubwa sana na wengine ufanyiwa duwa na sheree ndogo nyumbani sio kila mtu kufika huko.
Mtu aliyetoka hija ni kama kaenda kujiakikishia mwenye kuacha kabisa na kuwa kamili ndio maana mtaani wazee waliokwenda mpaka leo ndio wazee tunao waheshimu na watu ambao usikilizwa sana.
Sasa kumekuwa na kila mtu mwenye kusumbuliwa na pesa naye kwenda hija ili mradi kuonekana kwenye mitandao ya kijamii.
Cha kushangaza wakija mtaani ni yale yale tu wanayoendelea nayo ukilinganisha na kipindi cha nyuma ilivokuwa inaheshimika.

Hija ya miaka ya sasa ibadilishwe vipengere tu maana inakosesha watu wanaotaka kwenda hija kweli.
Hahahah unamsema feitoto na nimekosa mimi nini?imekuwa fasheni kwel 😅mzee yusufu alienda kutubia kuwafyeka waimbaj taarabu wa five Stars(inavyosemekana)aliporud akasema kaacha kuimba twaarabu na akaanza kuhubiri ilmu ya kiislam,njaa ilipomkaba akarudi kuimba twaarabu 😅
 
Ipo hivi Hija ni Moja ya nguzo za uislamu na wengi wanaiendea ili mradi uwezo wanao.
Wapo wale wanaoenda kutafuta radhi za Allah hao wakiwa kule wanakamilisha ibada zote na kuvuna thawabu zinazohitajika na wakirudi ni alkhaji kamili yaani wanakuwa kama wamezaliwa upya.
Kundi la pili ni wale wa kushow off humo ndio utawakuta wafanya biashara,wanasiasa na wasanii hao wakirudi wanaendeleza mambo Yao Yale Yale waliyoyaacha.
Hawa wa kundi la pili ni watalii tu hawana lolote watakalochuma huko
 
Tatizo hadi wakina Hakika unaweza kuona wanaenda huko....

Msanii yule mwenye kusema kuwa jinsia ya 3 naye yumo!

Wanaotishia watu bastola na kuwaminya via vya uzazi, wamo.

Mafisadi kadhaa ni ma-alhaji sasa!

Inatia ukakasi kwa hizi imani kwa sasa, inaweza kuwa haikuwa na maana ya kuwa nguzo ya KIIMANI ila ugumu wa kufika huko, sasa kila mtu anao uwezo wa kufika ilimradi tu awe na pesa, haijalishi kaipataje, naye yupo mahali panapodhaniwa kuwa PASAFI zaidi kiimani! Imekuwa kama sehemu ya kitalii zaidi kwa watu wenye majina ya KIISLAMU badala ya sehemu ya IMANI.

Vipi kuhusu wenyeji wa kule, wanaoweza kufika tu kirahisi na kuona hiyo ni sehemu ya utalii zaidi ya kiimani?
Wengi wanaenda kujikosha,ila baadhi wako pia,Prof Assad alienda kumlilia Mungu alipoaibishwa maskin,ila Mungu wetu ni wa haki kwa wamwabuduo kweli 🙅
 
Back
Top Bottom