Hii ya leo noma

Complicator EM

Senior Member
Dec 20, 2011
155
39
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye contact za WA KUSOMA humu jamani?
 
Hapo kwenye black hapo... Mbona unajicontradict mwenyewe?
 
Yaani leo sijui hii siku yangu imekaakaje, yaani sijisikii powa kabisa, chai sijapiga halafu sina hata hamu ya kula, mfukoni bila bila dah! hii yua leo hamna kabisa. Nimechok mbaya, Hamna mwenye contact za WA KUSOMA humu jamani?

nakushauri urudi tena kitandani ukalale...hadi keeeeshooo.
 
ushauri mwingine bwana siyo, yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf wewe unaniambia nikalale tene si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way.
 
nakushauri urudi tena kitandani ukalale...hadi keeeeshooo.

Ushauri mwingine bwana siyo, yaani hapa mfukoni niko empty, chai sijapiga, nawaza mchana itakuwaje hlf wewe unaniambia nikalale tene si ni upumbafu huu? Ngoja nikavizie mtu akikatiza kihasarahasara nijifunze kukaba, no way.
 
Back
Top Bottom