mjukuu:"babu kwani kuna tofauti gani kati ya chupi ya zamani na ya sasa?
Babu:"zamani ili uone kalio unapanua chup,siku hizi ili uone chupi unapanua kalio"
mjukuu:"sikuelewi babu"
babu:"kalio la zamani lilikuwa ndani ya chupi,lakini chupi ya sasa ipo ndani ya kalio"