Hii tofauti ya umri kati yangu na mchumba wangu ni sahihi?

Miaka 12 ni mengi sana kwa sisi wataalam wa mahusiano. Watakapofika mwanaume ni 50 plus na mke ni 38 plus hapo ndiyo matatizo yanaanza. Mwanaume kama huli vizuri kwa afya, nguvu zinakuwa down na kwa mwanamke ni hot kabisa kipindi hicho. Hivyo jiandae kuwa rafiki wa Viagra vingnevyo vijana watakusaidia!!!
 
Lakini tofauti ya umri sahihi ni ipi?
Namba zina maana sana kwenye hesabu si kwenye maisha na hasa katika swala zima la mapenzi.

Lamsingi tu: Halmashauri kuu ya kichwa chako irdhie utakacho.

Hapo kwenye mkazo:
Sahihi ipo kichwani mwako, Ya wanadamu-, ukiyasikiliza na kuyachukua yote kama yalivyo utakuwa mdebwedo.
 
Ingekua hiyo age difference iko vice versa hapo ndo tatizo,ila kwa wao haina shida.
 
Miaka 12 ni mengi sana kwa sisi wataalam wa mahusiano. Watakapofika mwanaume ni 50 plus na mke ni 38 plus hapo ndiyo matatizo yanaanza. Mwanaume kama huli vizuri kwa afya, nguvu zinakuwa down na kwa mwanamke ni hot kabisa kipindi hicho. Hivyo jiandae kuwa rafiki wa Viagra vingnevyo vijana watakusaidia!!!

Acha ww.mimi sasa hivi nina miaka 41 wife ana 23.Nilimuoa akiwa na miaka19 sasa hivi ni tunakaribia mwaka wa tano pamoja bila matatizo
Oa tu mpwa.
 
Back
Top Bottom