Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,488
- 13,608
Natumaini hizo kesi zilikuwa zimekaa muda mrefu bila ya kutolewa hukumu, kilichomkera rais ni mizengwe inayoingizwa ili kesi zikae muda mrefu halafu hakuna anayefaidika. Katoa hizo pesa baada ya kuambiwa na jaji mkuu, Yeye angejuaje kuwa inahitajika shilingi bilioni 12.5 ili kesi ziweze kushughulikiwa kama asingeambiwa na jaji mkuu?. Kumbuka kuwa rais aliandikiwa risala ambayo hakutaka kuisoma, alikuwa na dukuduku zake nyingi tu ambazo aliona ule ulikuwa ni muda muafaka kuziwasilisha.Mkuu hebu tuweke sawa.rais alisema yuko tayari kuipa fedha mahakama.lakini akatoa condition kuwa fedha trilioni moja zipatikane baada ya kutoa hukumu ya wakwepa kodi.tens aliagiza fedha zitolewe ndani ya siku 5 na akaahidi atatoa 250 billion baada ya kupatikana trillion 1. Sasa hebu nisaidie baada ya rais kuongea hivyo unategemea kuna jaji atahukumu kinyume na matarajio ya rais? Tuwe wakweli jamani hapa haki haitatendeka wapo watakaoonewa.