Hayo ni mazingaumbwe!how can this be possible?i dont understand na mtu mzima huyu tayari.
Je tunahitaji Photoshop hapa? Iwapo kila mwenye ujuzi wa Photoshop ataweka picha hapa itakuaje? Kumbuka jinsi JK alivyochezewa na Photoshop... Na hii inaweza hata kumkuta Mbowe, Slaa na ghasia zingine!Kama hujasikia kitu kinaitwa photoshop, ndio hiki kimefanya picha hii.
Pongezi kwa artist huyu kwa kutumia vizuri photoshop!