hahaha mambo mengine yapo kwenye vinasaba mkuu, kama hauna vinasaba vya upaja then upo safe! wala hutafundishika mkuuUna tufundisha tabia chafu , shindwa katika majina yote , unaenda kwenye sherehe ukiwana mawazo yakusheherekea kwa pilao una kuta sherehe za pajaz.
Mkuu No... thnx. Ni rangi imekutght hapoo.Tazama vizuri mkuu, I bet you look like this girlfriend.....not too big, not too small.....curved.
hahaha usikimbilie rangi mkuu, mie ni huo mwili tu not big not small, binafsi napenda rangi hii hapa hahahaha...ila hapa kajifunika funika kuheshimu ndoa yake. kwahiyo wewe umewapiga chini wote.Mkuu No... thnx. Ni rangi imekutght hapoo.
hahaha usikimbilie rangi mkuu, mie ni huo mwili tu not big not small, binafsi napenda rangi hii hapa hahahaha...ila hapa kajifunika funika kuheshimu ndoa yake. kwahiyo wewe umewapiga chini wote.