Kwa muda mrefu ndani ya CCM kulikuwa na operation vua gamba ambayo lengo lake lilikuwa kuwaondoa watu waliodhaniwa kuwa si wasafi ndani ya CCM. Operation hiyo haikufanikiwa sana. Lakini hii ya sasa ni operation vua gamba part two ambayo tunashuhudia magamba yanapeperuka kuelekea mbali na CCM.
Magamba yanatimka yenyewe
Magamba yanatimka yenyewe