Hii pressure ya wanawake wakifikisha 26 na kuendelea imekuwa tatizo sana, wanabaki kuchukua maamuzi magumu

Kujifariji kunasaidia Mkuu.

Ila hata mimi mwanaume sitaki Mwanamke maskini sembuse hao wanawake. Acha wachague wanavyotaka. Yakiwakuta ni sawa tuu
Uzuri wa mwanaume hata akiwa anamtaka mwanamke mwenye fedha lakini nayeye anapambana kimpango wake, mwanaume ni nadra kumkuta anawadharau wanawake wasiokuwa na fedha kisa anataka wenye fedha, vilevile mwanaume hapitwi na wakati kwaio hana wenge na mambo ya ndoa. Hivo vitu ni kinyume kwa kina dada walio wengi.
 
Ngoja nikuambie jambo kaka
Wanawake hua wanashindwa kwenda na wakati
Wao hujaza imagination nyingi kichwani tofauti na hari harisi
Kuna siku moja kelphin alisema hivi nanukuu”
“Ukitaka kumkosa mwanamke mwambie ukweli”
Wanawake hawapendi kuambiwa ukweli
Wanapenda uwongo maigizo na blah blah

Pindi muda ule wa wao kua kwenye peak ukiisha ..akili zao huwaza sawasawa kwakua anakua
Ameshatumika sana
Amesha danganywa sana
Ameshaona uharisia wa mambo!
Na hapo ndio huelewa maana ya maisha!

Thus why ni ngumu kidogo kwenda sawa na mwanamke ambae bado mbichi!
When you want to make life chagua mwanamke ambae yupo zaidi ya 30
Hawa wameshapigwa misurubu mingi
Hakuna kitu hawajui
Ila hivi vya 18-27 hamtafanya kitu

Na hata siku moja usitegemee wakakubaliana na uzi wako
Watakuja hapa na bllaah blaaah kibao ila ndani yao wanatamani sana kuolewa!
Hao wa zaidi ya miaka 30 watatusamehe tu, hatuoi skrepa, mtu utakuta kakitembeza weee kwa wanaume wasio na idadi mpaka Likei limekuwa lipana kama handaki, limeota sugu na kuishiwa ladha, sisi tunatamani K mbichi inayobana yenye mnato, mimi ndo niichakaze siyo nikute mtu kachakazwa na wenzangu halafu mimi niambulie makombo
 
"Sasa juzi kati nikamtafuta bana kumsalimia, kwanza akawa haifahamu namba yangu maana alishaipoteza, nikanitambulisha ndipo akanitambua."*

Uzinzi tu unakusumbua!
Una haki ya kutoa maoni yako mkuu.

Endapo yeye angenitafuta, pia ungeweza kusema ni uzinzi?
 
Kwa nini ulimdanganya kuwa huna familia ilhali umesema kuwa tayari ushakuwa na familia yako? Ulikuwa unatafuta nyumba ndogo nini?
Kutoa jibu ambalo sio sahihi ni faida kwa wenye kutafiti/kuhoji. Ukizingatia pia ni mtu mzima/mkubwa haitakiwi kukubali bila kujiridhisha(kuchunguza/kudadisi).

Ukiwa na desturi ya kudadisi, kwa asilimia kubwa utakuwa unafanya maamuzi yaliyo sahihi.

Hata kama mimi sijamwambia ukweli ila uwanja wa kuutafuta ukweli anao.

Je, unajuaje huenda na mimi kashanidanganya? maana yupo mkoa mwingine na mimi nipo mkoa mwingine.

Pia hata tungeonana live tukiwa wawili hilo lisingethibitisha kuwa mimi ni familia na yeye hana hadi pawepo na uthibitisho.

Mara ngapi hapa huwa tunasema ili mtu aoe single maza na awe safe ni lazima hadi aone kaburi na mweza wake wa mwanzo...

Kwa hiyo mkuu, ukiambiwa kumekucha toka nje uangalie kama jua limechomoza, na kama kuna mawingu hakikisha kuna mwanga unaoashiria kumekucha na wala si mwanga wa mbalamwezi
 
Shida kubwa wanawake wengi wanafikiri umaskini unadumu na ndio maana wanapotezaga watu Sahihi

Wanakutana na wajanja wa town wezee wa kataa ndoa ni UTAPELI (hit & run) wanaodhani ndio Sahihi baadae wanaishia kuchezewa na kuachwa umri unazidi kuyoyoma.

Usifikr awali ww alikuona kama kaka yake tu no ukweli aliona huna hadhi na Hela za ndoto Alizonazo yeye full stop kwanini baadae aliona mko sawa au umri wake uliongezeka hadi mkawa sawa

Nawasilisha Kwa unyenyekevu mkubwa
Namzidi mwaka mmoja tu
 
Uzuri wa mwanaume hata akiwa anamtaka mwanamke mwenye fedha lakini nayeye anapambana kimpango wake, mwanaume ni nadra kumkuta anawadharau wanawake wasiokuwa na fedha kisa anataka wenye fedha, vilevile mwanaume hapitwi na wakati kwaio hana wenge na mambo ya ndoa. Hivo vitu ni kinyume kwa kina dada walio wengi.
Sahihi ndio maana wanaume hawaendi kwa mitume na manabii kuombewa.
 
WITO: Mwanamke kama una nia ya kuwa na familia ndani ya ndoa, hakikisha unafanya maamuzi sahihi ingali mapema kabla ya msimu wa kusema bora liende haujawadia, mambo yanaweza yasiende kama unavyotarajia ila kwa kiasi fulani inabidi uwe flexible ili kuruhusu yaende
NAKAZIA
 
Na kuna wengine ukiwaacha wanakuendea kwa babu.

Hizo ndizo type wanazo zipenda Marioo wanajua hamna gharama na ndizo type fulani zinalalamika kupata mume, Mungu anasikiliza kilio chao anawapa wenza bora. Baada ya kuolewa anaanza kumkumbuka ex-wake.

Ndizo type ambazo zinajitolea mahali na kujifanyia sherehe wao wenyewe na hii trend ya kujitolea mahali inakuwa kwa kasi. Kuna mdada na mjua yupo UN kafanya sherehe ya upande wake na ukweni,kote kasimamia shoo yy.

Kuna senior wangu mmoja alikuwa ananifundisha kazi kwenye moja kampuni nilizokuwa nikifanya kazi,sasa shift za usiku yy anaishia saa nne anaenda kulala kwa mdada age 30+,dada hela anayo hizo kilo ,50,kilo mbili mwana kazipiga sana.Si akaja kujua jamaa kaoa,ilikuwa mbilinge na demu kamwambia amwachi,jamaa alienda nae mdogo mdogo akapunguza mazoea wakaachana ila ilikiwa mtiti si wakitoto.
 
Sasa chief kwa mstakabari huu tutaoa kwer maana kila unaemfata anawake sisi hatuna tunaenda kudabhangura wapi mfano
 
Back
Top Bottom