Hii picha nimeikuta Facebook.

Mu-sir

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,621
1,630
Tao Maoni yako mwana JF
 

Attachments

  • 542274_333010130122127_201927331_n.jpg
    542274_333010130122127_201927331_n.jpg
    55.1 KB · Views: 446
sawa kabisa hii sijui imekaaje.. labda wala rushwa na mafisadi wanahela sana na ni waheshimiwa hivo wanaogopwa hata kuguswa
 
ungeonyesha na wala rushwa nao walivyokuwa arrested walikamatwa vipi ingekuwa balanced comparison, hapo umeonyesha watuhumiwa wa rushwa wakiwa tayari mahakamani tu, na watuhumiwa wengine walipokuwa wanakamatwa, misuli inatumika kwa mtumia misuli, machinga kumkamata lazma arushe mawe sasa sijui Liyumba au huyo mbunge walivyokamatwa walitupa mawe au ngumi, ni maoni yangu tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom