DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 18,000
- 45,511
Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagine
Vipi ulitoboa?Nipo hapo
2017 hio, SIKUTOBOA kwenye AWAMU HIO.Vipi ulitoboa?
Ila now I hope upo somewhere unaEnjoy?2017 hio, sikutoboa kwenye AWAMU HIO.
ndo maana ake, wekwa mambo tunayofanyiwa na ccm Ukiingi kwenye mfumo unalipa kisasi 😅🤣Wanagombea kwenda kula rushwa tu
🤔🤔🤔 mediocre...,Ila now I hope upo somewhere unaEnjoy?
Wote hao wamesoma kwa kukariri hawajaelewa.Inafikirisha Sana siku ya usahili (TRA) you can't imagineView attachment 2765189