Hii nimeipenda. kama unalalamika kwa nini uunge mkono hoja?

Nashukuru ni mbunge wa CCM wa Namanyere kawaweka wazi, na mbunge akiunga mkono maji ni mwongo na mnafiki kwa wapiga kura wake

Katika Siku Mheshimiwa Mbunge wa CCM kaongea na nikafurahia..huyu mbunge wa Nmanyere..'Kama unasema huna Maji kisha unaunga mkono hoja kwa asilimia Moja wewe Mbunge ni Mnafiki na Wananchi mumuone'...bonge la kauli!!!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Jambo moja ambalo nina hakika nalo, ni kwamba kero ya maji itazidi kuwa kubwa kwa sababu uwezo wa Prof Maghembe ni mdogo mno. Angalia kila wizara aliyopita - hakufanya vizuri.
 
Vp kuhusu ile ya kila siku kuomba mwongozo na kutoa taarifa wakati Sinza hakuna maji, hukulisikia?
 
Nimefarijika sana kusikia huyu mzee amesimama bungeni na kuongelea tatizo la maji linalowakumba wananchi wa Namanyere tangu kuanzishwa kwa wilaya hiyo kama sikosei mwaka 1975! Kama mtu hujapita maeneo hayo, huwezi jua tatizo walilonalo watu wale. Shida ya maji iliyopo pale ni ya kutisha. Visima vilivyochimbwa ni vya msimu nikimaanisha vinaenda na msimu wa mvua na baadhi yake, maji yake si salama kwani yana vijidudu ndani yake. Mvua ikinyesha vinakuwa na maji na ikiondoka na maji nayo yanaondoka. Hongera sana mzee Kessy kwani makao makuu ya wilaya kuwa katika hali kama ile ni aibu sana.
 
Back
Top Bottom