Hii ni sahihi kwa ccm

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Kitendo cha ccm kujivua magamba nakuanza kujiandaa na uchaguzi wa 2015 badala ya kujenga nchi na kupunguza makali ya ugumu wa maisha sioni kama ni sahihi?sasa hivi bei ya petrol imefika 2100tsh ,sukari 1kg 2000,nk hapa dsm sijui huko mikoani.maswala ya kutuambia kwamba mafisadi hawatagombe 2015 hayatusaidi kwa sasa sisi tunataka tuone mabadiliko kiuchumi sio kwenye vyombo vya habari.naomba kuwasilisha
 
Hakuna magamba hapo. Laiti hayo magamba yangekuwa na damu tungeliewa hilo swala la kujivua kwao. Tatizo liko kwenye damu yao na damu imeoza. The body is rotten and I can't see the way unaweza ukavua gamba uozo! This is a political gimmick.
 
Back
Top Bottom