Hii ni Hatari: Wabunge wa CCM watishiwa maisha

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
Source tz daima

Wabunge wawili kati ya wanne walio tia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu wametishiwa maisha na mafisadi ikiwa ni nje ya vitisho vya kuvuana magamba ndani ya NEC.
 
Wanatishiwa na nani? Yaani siku hizi kutimiza haki yako ya kidemokrasia basi unatishiwa maisha? Mbona wamesaini watatu yaani Filikunjombe, Lugola na Mkono lakini wanatishiwa wawili tu kwa nini?

Wakashitaki polisi na kwa spika wa Bunge ili wapate ulinzi.
 
hizi tetesi za siku hizi hapa jamvini haziaminiki kabisa, mimi sijui wapi watu wanaleta hizi habari.tafadhalini msidhalilishe jamvi likawa kama mageziti ya udaku wakati humu wapo wasomi tupu.
 
hizi tetesi za siku hizi hapa jamvini haziaminiki kabisa, mimi sijui wapi watu wanaleta hizi habari.tafadhalini msidhalilishe jamvi likawa kama mageziti ya udaku wakati humu wapo wasomi tupu.

Mpaka mtu afe ndo uamini au mtu augue ghafla kama Mwakyembe ndo uanze kuanini
 
Mpaka mtu afe ndo uamini au mtu augue ghafla kama Mwakyembe ndo uanze kuanini
Jamani tuache udaku na magazeti uchwara,
Je tukiwaona Filikunjombe, Mkono na Lugola Bungeni tutashusha hadhi ya Jukwaa la Siasa
 
Source tz daima

Wabunge wawili kati ya wanne walio tia saini ya kutokuwa na imani na waziri mkuu wametishiwa maisha na mafisadi ikiwa ni nje ya vitisho vya kuvuana magamba ndani ya NEC.
Niliyatarajia haya kwani magamba hawampendi mtu yeyote anayekwenda kinyume na interest zao.
 
Wawatishe ama la la msingi hapa ni kwamba mafisadi waonao wanapesa na madaraka bt kina Deo Filkunjombe wana watu nyuma yao,yaani people's power,Mungu awalinde na kupitia nguvu.
 
chezea gamba wewewe?????????????wackimbie dodoma wakimbilie cdm but kama ni wasafi,vua gamba vaa gwandwa
 
Amtaje anaayemtishia Maisha tumsaidie, wengine akili zishafyatuka.
Kwa nini hawamtishi Mh.ZITTO?
 
Chonde chonde jf yako! Chaguo lako! Ilinde heshima ya jf kwa kuipa uzito unaostahili kila habari unayoitundika! Si kuna prefix ile ya tetesi?
 
Back
Top Bottom